Maisha magumu legezeni kamba, acheni pia masimango kwa jobles. Mawinga wengi ni jobseekersDar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Huyu hajasema anataka auze sim za aina gani na anataka za biashara au lah. Nisije mwagika madini hapa kumbe anataka sim moja na kashanunua
Bei ni rahisi kwa wanunuzi wa jumla wanonunua ili kwenda kuuza tena huko mikoani, ukienda humo maduka ya kawaida ya rejareja bei ni kubwa. Maana hao wenyewe wanachukua simu karibuni akoo hapohaoo na kuuza tena hapohapo kariakoo. Vitu bei rahisi ni kwa wafanyabiashara wezao sio wateja wa rejarejaDar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Ahaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya KarumeBei ni rahisi kwa wanunuzi wa jumla wanonunua ili kwenda kuuza tena huko mikoani, ukienda humo maduka ya kawaida ya rejareja bei ni kubwa. Maana hao wenyewe wanachukua simu karibuni akoo hapohaoo na kuuza tena hapohapo kariakoo. Vitu bei rahisi ni kwa wafanyabiashara wezao sio wateja wa rejareja
Hapo Kariakoo udalali ni mwingi sanaAhaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya Karume
Hilo soko no la vijana wa tamaaaAhaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya Karume
Electronics kitonga ni mtaa wa Magila ila lazma uwe na connection🤣! Nimenunua mali kwa 950K ambayo ukienda kibwege unauziwa 1.2M ila yote ni sababu ya plug tu.Anaetaka electronic bei za jumla njoo pm.
Bei mserereko Hadi ushangae
Ndio KARIAKOO hiyo..Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Aisee...Kariakoo kuna machimbo ukiyajua machimbo umefanikiwa maish
Waende shamba.Vijana wamejiajiri