Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Dar inashangaza

Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.

Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa.

Kariakoo acheni uhuni.

Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
 
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni

Maisha magumu legezeni kamba, acheni pia masimango kwa jobles. Mawinga wengi ni jobseekers
 
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Bei ni rahisi kwa wanunuzi wa jumla wanonunua ili kwenda kuuza tena huko mikoani, ukienda humo maduka ya kawaida ya rejareja bei ni kubwa. Maana hao wenyewe wanachukua simu karibuni akoo hapohaoo na kuuza tena hapohapo kariakoo. Vitu bei rahisi ni kwa wafanyabiashara wezao sio wateja wa rejareja
 
Ahaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya Karume
 
Hapo Kariakoo udalali ni mwingi sana
 
Ahaa! Kumbe ipo hivyo. Nilishangaa bei ya electronics Kariakoo inataka kufanana na ya mikoani. Labda Kariakoo brands ni nyingi kuliko maduka ya mikoani. Pia, nilienda Karume kutafuta kiatu cha mpira cha mtumba almaarufu Six, bei ya chini walikomaa elfu 90. Nikaja mkoani nikapata kwa elfu 45 tena kikali kuliko vya Karume
Hilo soko no la vijana wa tamaaa
 
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu
Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa
Kariakoo acheni uhuni
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja
Ndio KARIAKOO hiyo..
 
Back
Top Bottom