ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Dar inashangaza
Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara.
Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair kabisa.
Kariakoo acheni uhuni.
Ka frem kadogo wamejaa madalali zaidi ya 20 wanazidi hadi wateja