Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Pole kwa waliofikwa na majanga haya, huna bima umasikini huu hapa, na hivi hatuna utaratibu wa kukata bima za namna hii..majanga!!
 
Hili iuze nini ? Usafi au Maonyesho ya Usafi ?

Tatizo la kutokumaliza tatizo ni kama kufyeka magugu badala ya kuyangoa...; Jinsi ya kuondoa watu sio kwa kuwafukuza bali ni kuwapa alternative ya shughuli ambazo zitawalipa na kuweka utaratibu unaofaa..., hapo hata ukiamua baadhi ya floor ukaweka mazulia na sliding floors kama kuna wateja wataweza kulipia gharama watakaa huko na wasioweza watakwenda pengine (ila kwanza kule pengine pawepo na kuwepo kwake kuweze kukidhi ujira kwa watakaokwenda huko)

 
Morogoro miezi kama mitatu iliyopita uliwaka moto,nyumba ipo kama 200m toka kituo cha zimamoto cha mkoa,walifika eneo la tukio kwa kuchelewa,magari hayakua na maji,.ikabidi gari itoke mzinga jeshini karibu km 5..
 
Hao ndo aina ya watu ambao tunategemeana washirikiane kuliondolea taifa hili umasikini. Hio orodha hapo ni activity feki inaandaliwa ili malipo yaidhinishwe watu wavute mipunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…