Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Ufisadi Ukikoma haya madude yatakwepo na maji yatapatikana.

Mnunue na vifaa vya kuendana na ukuaji wa miji na majengo ya kisasa.

View attachment 2768444
Wanunue hayo ili wasipige hela, kwenye maelezo ya kuomba hela wanaandika specs za hizo hapo ila kinachoagizw ni scania 113 🀣🀣🀣
 
Hee, umeniwahi, yaani fremu za biashara alafu eti kuna NEMC?
Hii nchi nakwambia atafutwe mtoto wa MAGUFULI AONGOZE tu.

Kituo cha mafuta kinajazwa maduka? hivi moto ukitokea siku za kazi pale si mauaji ya halaiki?

Hamna kituo cha mafuta pale
 
CCM inachoweza ni wizi wa kura na kuitana kwenye madaraka na kukejeli wananchi.

Maswala mengi muhimu yanayogusa maslahi ya raia imeshindwa kuyatatua. Swala la zimamoto ilikuwa ni ishu ya kununua gari za kutosha zikae kila mtaa.
Napendaga unavotema madini
 
Mungu wangu hakuna vifo na majeruhi kweli hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni siasa na wanasiasa
 
Moto umeanzia mnadani na sio hapo ma ndo maana benki haijaguswa na moto, pia benki hazikai na pesa, pesa hupelekwa makao makuu na kurudishwa asubuhi
 
Kama viwanja havijapimwa wategemea nini?
 
Yatakiwa moto mkubwa utokeee kama ule wa Hawaii ili mji upangwe upya vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…