Samia hajawahi fanya ziara za hasara.Tuambiwe tu tunazilipaje hizo maana ni mkopo.
Kwanini Hawasemi Kuwa Ni Mkopo Wao Husema Tumepewa Kama BureTuambiwe tu tunazilipaje hizo maana ni mkopo.
NakaziaTuache kuwa wapuuzi kwamba huko alikokwenda alikuwa na shamba amevuna??, Mkiwa mnamsifu muulizeni namna ya ULIPAJI wa hizo pesa.
Mabeberu Hayatupendi Ndugu ZanguYani tumekuwa Kama tumeolewa na mabeberu kila siku wanatupa hela za matumizi kwa njia ya msaada au mkopo, muda c mrefu tutaanza kuliwa na sie
Tanzania Ni TajiriYule mzee alikuwa mshamba sana! Alikuwa akiwatukana mataifa wahisani kwa kuwaita mabeberu wakati huohuo anawakopa kimyakimya, matokeo yake wakawa wanampa masharti magumu ikiwa ni pamoja na riba kubwa. Wakati huo huo anadanganya Taifa kuwa anatekeleza miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani! He deserved to pass away!!!!!
YESU NI BWANA
Hawa washezi wanakere sana, utadhani sio matanzania..yamejaa unafiki tu..eti kufurahia mikopo wakati nchi inaendelea kujiingiza kwenye mtego wa mabeberu kila uchwao.Tuache kuwa wapuuzi kwamba huko alikokwenda alikuwa na shamba amevuna??, Mkiwa mnamsifu muulizeni namna ya ULIPAJI wa hizo pesa.
Wenzio waliombwa waweke mikopo bungeni wakashindwa,huo wa kukopa mikopo ya biashara ni uhuni wenu tu hakuna kitu Kama hicho, magu alikuwa akili kubwa nchi hii hajawahi tokea, na hii Vita mnayopigana na marehemu hamtashinda endeleeni kuteseka hakuna namna.lbd hiyo ya kula urefu wa kamba.Yule mzee alikuwa mshamba sana! Alikuwa akiwatukana mataifa wahisani kwa kuwaita mabeberu wakati huohuo anawakopa kimyakimya, matokeo yake wakawa wanampa masharti magumu ikiwa ni pamoja na riba kubwa. Wakati huo huo anadanganya Taifa kuwa anatekeleza miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani! He deserved to pass away!!!!!
YESU NI BWANA
Nakazia
Dawa Ya Deni Ni Kulipa
Alikuwa anawatuma Mahiga na KabudiMagufuli, kwa miaka yake 5 ya utawala, aliwezaje kugharamia miradi mikubwa ya kimkakati na kuboresha huduma za jamii bila kwenda kwa wenye mapesa kuomba?