Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Yaani kukopa imekuwa sifa kuu ya Taifa hili Kwa Sasa? Anayefanikisha kukopa anakuwa shujaa wa Taifa?Tuambiwe tu tunazilipaje hizo maana ni mkopo.
Yaani kukopa imekuwa sifa kuu ya Taifa hili Kwa Sasa? Anayefanikisha kukopa anakuwa shujaa wa Taifa?Tuambiwe tu tunazilipaje hizo maana ni mkopo.
Kwa hiyo kukopakopa wewe kwako ndo ujanja? Acheni dharau za kijinga kila siku kumshambulia tu mtu ambae hawezi kujitetea, huko ni kupungukiwa akiliYule mzee alikuwa mshamba sana! Alikuwa akiwatukana mataifa wahisani kwa kuwaita mabeberu wakati huohuo anawakopa kimyakimya, matokeo yake wakawa wanampa masharti magumu ikiwa ni pamoja na riba kubwa. Wakati huo huo anadanganya Taifa kuwa anatekeleza miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani! He deserved to pass away!!!!!
YESU NI BWANA
Tatizo wenzako bado hawajakubaliana na ukweli...ndo wanamtajataja na watu wanajibu mapigo...tukubali tu mzilankende hayupo Tena....tujaribu kuishi bila yeye hata kama tulimpenda kiasi gani.Kwa hiyo kukopakopa wewe kwako ndo ujanja? Acheni dharau za kijinga kila siku kumshambulia tu mtu ambae hawezi kujitetea, huko ni kupungukiwa akili