Karibu nyumbani Rais Samia, siku 10 nje ya nchi zimelijaza Taifa mapene ya maendeleo

Kwa hiyo kukopakopa wewe kwako ndo ujanja? Acheni dharau za kijinga kila siku kumshambulia tu mtu ambae hawezi kujitetea, huko ni kupungukiwa akili
 
Kwa hiyo kukopakopa wewe kwako ndo ujanja? Acheni dharau za kijinga kila siku kumshambulia tu mtu ambae hawezi kujitetea, huko ni kupungukiwa akili
Tatizo wenzako bado hawajakubaliana na ukweli...ndo wanamtajataja na watu wanajibu mapigo...tukubali tu mzilankende hayupo Tena....tujaribu kuishi bila yeye hata kama tulimpenda kiasi gani.
 
Halafu kwann watu wa CCM huwa mnapenda kutumia hiyo title ndugu kwa Mwanamke. Hapo mlitakiwa kuwandika bibi fulani au bi fulani au mheshimiwa fulani. Ndugu haijakaa sawa
 
Furahieni sana hiyo mikopo ambayo inaelekezwa kwenye miradi ambayo si productive kwenye uchumi. Mtalipa sijui na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…