Sasa kama kila maoni ya mtu hayafai chukua yako kaa nayo hukohuko kijana ......wewe unipangie mimi nisipangie watu? 😅😅😅 maajabu hayaUmetoa maoni yako kama vile wewe ndo uko sahihi kwamba unamshangaa yeye kafiwa na mapacha na anatamba, kuingiza maoni yako kwenye maisha ya mtu ndo kumpangia mtu maisha kwenyewe huko
Kwahiyo acha kupangia watu maisha
Welcome againKila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.
👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.
Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa na bahati katika dunia, lakini hi si kweli kwani kila mmoja wetu katika dunia hii amepitia tatizo au majanga fulani. Na baadhi ya walikuwa wavumilivu, wenye imani, basi walivuka hatua hizo ngumu🙏🙏
nichukue fursa hii kumkaribisha Tena ndugu yangu, Kaka yangu na hata mwizi mwenzagu National Anthem, kwa kumpa pole kwa yaliyo mkuta. Nimjuze tu kuwa tuko pamoja nae hasa chama chetu Cha wizi, jf usiku wa manane na hata jamii forum kwa ujumla.
nakukumbusha kuwa majonzi ni sehemu ya mwanadamu, lakini yeye Kama baba anapaswa kukaza Moyo ili aendelee kuiongoza na kupambania familia yake🙏🙏.
👉 Nyakati ngumu hupita, ila watu imara hudumu🙏
👉Imani huamisha milima.
👉I can, I must, I will.
I mean no malice to nobody
View attachment 2617704View attachment 2617705View attachment 2617706
Una maisha gani wewe?Sasa kama kila maoni ya mtu hayafai chukua yako kaa nayo hukohuko kijana ......wewe unipangie mimi nisipangie watu? 😅😅😅 maajabu haya
Achana na maisha yangu
Aisee uchawi ulianzia wambeya walivyopost na kumpa hongera za kupata mapacha....Alifiwa na watoto wake mapacha vichanga
Haya haya yaliyokutia ndimu hapa kiasi kunipangia mpaka mawazo kijanaUna maisha gani wewe?
Naomba niwe mwanao nichukue nafasi yake.Jiandae kuitwa hater....watu wana moyo it took me years to grieve for my son leo mtu kafiwa mapacha anatamba huku na kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raha sana
Huna maisha yoyote yanayoweza kunifanya mimi nitamani hata kuwa karibu yako, acha maneno ya chuki kwenye threads za watuHaya haya yaliyokutia ndimu hapa kiasi kunipangia mpaka mawazo kijana
You nailed it man! Mavi-jana ya kitanzania yamekuwa ya hovyo hovyo sana!👍🏿👍🏿Mnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?
1. Kaoa (Uzi)
2. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)
Seeking attention/sympathy? From who? At what cost? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwatosa unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?
Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!
Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha. Labda masikini bado yuko kwenye denial!
Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa wote na hasa mkewe ambaye naamini kama mama bado atakuwa na wakati mgumu sana japo tayari mumewe kesharudi mitandaoni humu kusaka sympathy na attention!
Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. Let the innocent little ones peacefully rest in Jesus' endless blessings.
[emoji419][emoji419][emoji419]Tuwe na faragha kidogo wapendwa. Inasaidia sana hasa katika jamii zetu hizi za Kiafrika![emoji419][emoji419][emoji419]
Sawa sawa mkuuHaha, nashangaa msibani tena!
Ila vyovyote vile maisha yanasonga, uingie online au ujifungie chumbani ulie 24/7 hutabadikisha matokeo ya msiba.
Japo wengine sio pigo zao kuweka maisha yao humu, wapo wanaoona ni sawa tu. So tuishi tu!
Ila yanakuwasha washa kupitia comments za mawazo yangu?? 😂 acha shobo kijanaHuna maisha yoyote yanayoweza kunifanya mimi nitamani hata kuwa karibu yako, acha maneno ya chuki kwenye threads za watu
Huna maisha wewez, Mungu hawezi kukupa maisha na Chuki kwa Wakati mmoja, wewe umepewa chuki niambie niache kuingilia chuki zako na siyo maisha, maisha utayatoa wapi we recruit wa kichawi?Ila yanakuwasha washa kupitia comments za mawazo yangu?? 😂 acha shobo kijana
MImi sijakataa rafiki rudi kasome tena comment yangu huko juu.Ila watu wa ajabu sana aisee, nimesoma comment za watu wanashangaza sana. Kwahiyo kama ni week imepita toka afiwe na watoto wake hapaswi kuendwlea na maisha mengine? Kwahiyo rafiki yake@Intelligent businessman hapaswi kumfariji na kumkaribisha tena?.
Na watu wazima kabisa wanaamini eti ni uchawi wa kuanika mambo kwa social media ndio umeondoa uhai wa malaika wetu?? Tena JF ambayo tupo anonymous?? You guys should grow up.
rubii Binadamu wanatofautiana mpendwa kwenye ku-grieve wengine kulia ndio ahueni, wengine hawatalia, wengine kusocialize ndio kunampa ahueni ila haimaanishi kwamba hajaumia na msiba. And also you cant grieve forever inafika muda unamshukuru Mungu na kuwaombea tuu.
Nimeisoma comment yako, umesema ilichukua miaka wewe kumuomboleza kijana wako but looks like unamshangaa National anatamba huku na kule. Ndio nikakwambia watu wanatofautiana kuomboleza. Unaweza kuta kaja Jf kutoa mawazo sio kwamba kamaliza kuomboleza.MImi sijakataa rafiki rudi kasome tena comment yangu huko juu.
Halafu kama binadamu tunatofautiana basi iwe hivyo kwenye mitazamo yetu pia.
Mimi wewe na yule kila mtu atazame kivyake na kila mtu ajali mtazamo wake binafsi bila kushangaa ya wengine ASANTE.
My dear watu hutofautiana sawa kubali kutofautiana kimawazo pia na iwe sawaNimeisoma comment yako, umesema ilichukua miaka wewe kumuomboleza kijana wako but looks like unamshangaa National anatamba huku na kule. Ndio nikakwambia watu wanatofautiana kuomboleza. Unaweza kuta kaja Jf kutoa mawazo sio kwamba kamaliza kuomboleza.
Sawa kijana niache na chuki zangu na uchawi mwingi.Huna maisha wewez, Mungu hawezi kukupa maisha na Chuki kwa Wakati mmoja, wewe umepewa chuki niambie niache kuingilia chuki zako na siyo maisha, maisha utayatoa wapi we recruit wa kichawi?
Mungu akubariki sanaUsijali mtumishi wa Mungu
AMEN MIMI NI MBARIKIWA!Mungu akubariki sana