Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Karibu tena JF member "National Anthem", natumai wewe na familia yako mtapona haraka katika hili

Umetoa maoni yako kama vile wewe ndo uko sahihi kwamba unamshangaa yeye kafiwa na mapacha na anatamba, kuingiza maoni yako kwenye maisha ya mtu ndo kumpangia mtu maisha kwenyewe huko
Kwahiyo acha kupangia watu maisha
Sasa kama kila maoni ya mtu hayafai chukua yako kaa nayo hukohuko kijana ......wewe unipangie mimi nisipangie watu? 😅😅😅 maajabu haya
Achana na maisha yangu
 
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.

👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.

Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa na bahati katika dunia, lakini hi si kweli kwani kila mmoja wetu katika dunia hii amepitia tatizo au majanga fulani. Na baadhi ya walikuwa wavumilivu, wenye imani, basi walivuka hatua hizo ngumu🙏🙏

nichukue fursa hii kumkaribisha Tena ndugu yangu, Kaka yangu na hata mwizi mwenzagu National Anthem, kwa kumpa pole kwa yaliyo mkuta. Nimjuze tu kuwa tuko pamoja nae hasa chama chetu Cha wizi, jf usiku wa manane na hata jamii forum kwa ujumla.

nakukumbusha kuwa majonzi ni sehemu ya mwanadamu, lakini yeye Kama baba anapaswa kukaza Moyo ili aendelee kuiongoza na kupambania familia yake🙏🙏.

👉 Nyakati ngumu hupita, ila watu imara hudumu🙏
👉Imani huamisha milima.
👉I can, I must, I will.

I mean no malice to nobody

View attachment 2617704View attachment 2617705View attachment 2617706
Welcome again
 
Mnapata faida gani kuanika maisha yenu mitandaoni humu? Is this real necessary? Do you think people genuinely care?

1. Kaoa (Uzi)
2. Kapata watoto mapacha (Uzi)
2. Mapacha wamefariki (Uzi)
3. Karibu tena mitandaoni (Uzi)

Seeking attention/sympathy? From who? At what cost? Kama kuna mabinti ambao pengine alishawaahidi kuwaoa humu akaishia kuwachezea na kuwatosa unafikiri walifurahi waliposikia kuwa kapata watoto mapacha? Unafikiri machozi yao waliyolia waliposikia kaoa yalikwenda bure?

Mambo mengine mnafanya ni utoto tu wallahi!

Anyway pole sana kwa mfiwa japo nilitegemea pengine achukue angalau kama mwezi hivi ili kuliflect na kumuomba Mungu; na kupata msaada wa kichungaji/kisaikolojia kabla ya kukimbilia kurudi tena kutamba mitandaoni humu hata wiki moja haijaisha. Labda masikini bado yuko kwenye denial!

Mungu Ambariki na kuwapoza wafiwa wote na hasa mkewe ambaye naamini kama mama bado atakuwa na wakati mgumu sana japo tayari mumewe kesharudi mitandaoni humu kusaka sympathy na attention!

Note: Haya ni mawazo yangu tu huru na hayana nia ya kumkwaza mtu wala kudogosha tukio la kusikitisha lililotokea. Let the innocent little ones peacefully rest in Jesus' endless blessings.

[emoji419][emoji419][emoji419]Tuwe na faragha kidogo wapendwa. Inasaidia sana hasa katika jamii zetu hizi za Kiafrika![emoji419][emoji419][emoji419]
You nailed it man! Mavi-jana ya kitanzania yamekuwa ya hovyo hovyo sana!👍🏿👍🏿
 
Ila yanakuwasha washa kupitia comments za mawazo yangu?? 😂 acha shobo kijana
Huna maisha wewez, Mungu hawezi kukupa maisha na Chuki kwa Wakati mmoja, wewe umepewa chuki niambie niache kuingilia chuki zako na siyo maisha, maisha utayatoa wapi we recruit wa kichawi?
 
Ila watu wa ajabu sana aisee, nimesoma comment za watu wanashangaza sana. Kwahiyo kama ni week imepita toka afiwe na watoto wake hapaswi kuendwlea na maisha mengine? Kwahiyo rafiki yake@Intelligent businessman hapaswi kumfariji na kumkaribisha tena?.
Na watu wazima kabisa wanaamini eti ni uchawi wa kuanika mambo kwa social media ndio umeondoa uhai wa malaika wetu?? Tena JF ambayo tupo anonymous?? You guys should grow up.
rubii Binadamu wanatofautiana mpendwa kwenye ku-grieve wengine kulia ndio ahueni, wengine hawatalia, wengine kusocialize ndio kunampa ahueni ila haimaanishi kwamba hajaumia na msiba. And also you cant grieve forever inafika muda unamshukuru Mungu na kuwaombea tuu.
 
MImi sijakataa rafiki rudi kasome tena comment yangu huko juu.
Halafu kama binadamu tunatofautiana basi iwe hivyo kwenye mitazamo yetu pia.
Mimi wewe na yule kila mtu atazame kivyake na kila mtu ajali mtazamo wake binafsi bila kushangaa uajabu wa mitazamo ya wengine ASANTE.
 
MImi sijakataa rafiki rudi kasome tena comment yangu huko juu.
Halafu kama binadamu tunatofautiana basi iwe hivyo kwenye mitazamo yetu pia.
Mimi wewe na yule kila mtu atazame kivyake na kila mtu ajali mtazamo wake binafsi bila kushangaa ya wengine ASANTE.
Nimeisoma comment yako, umesema ilichukua miaka wewe kumuomboleza kijana wako but looks like unamshangaa National anatamba huku na kule. Ndio nikakwambia watu wanatofautiana kuomboleza. Unaweza kuta kaja Jf kutoa mawazo sio kwamba kamaliza kuomboleza.
 
My dear watu hutofautiana sawa kubali kutofautiana kimawazo pia na iwe sawa
 
Huna maisha wewez, Mungu hawezi kukupa maisha na Chuki kwa Wakati mmoja, wewe umepewa chuki niambie niache kuingilia chuki zako na siyo maisha, maisha utayatoa wapi we recruit wa kichawi?
Sawa kijana niache na chuki zangu na uchawi mwingi.
 
Back
Top Bottom