Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

Basin
FB_IMG_16734370152934987.jpg
 
Huu ni mfumo wa kawaida kilicho leta utofauti ni bath tub sehemu ya kuogea una weza kuliagiza nje au ukalinunua kariakoo vile vile uka mtafuta fundi mzuri wa almnium akatungenezea..Mkuu kwenye bomba mifumo ni ile ile kinacho badilika material yanakuwa na urembo wa aina mbalibali
Nilijua ni zile vacume za kioo unaingia ukiwasha zinatoa mvuke wewe una simama au kukaa lakini uo mvuke ukikupigq ndio umeoga yani sijui kama ushazipata.
 
Back
Top Bottom