Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

Nikajua kiwanja kiko Ndani ya hiyo mil 28🤔🤔
 
Nikuoneshe kuwa kujenga nyumba siyo
Nyumba inajengwa kwa million 28; kodi ya hiyo nyumba haiwezi kuwa zaidi ya laki mbili kwa mwezi. Hela itarudi baada ya miaka 12.

Nyumba lazima ifanyiwe ukarabati kila baada ya miaka angalau 3.

Ukinunua Bond hiyo hela kila mwezi utapata 280,000 na hela yako ipo pale pale 28M.

Vijana situka
 
Upuuzi.mtupu
 
Utaperi huu,nyumba na kiwanja baada ya miak 4,vinarudi kwenu tena. CHAMBO KWENYE NDOANO
 
Una kampuni yako au ni fundi Michael? Nimeuliza sababu nipo interested
Nina nyumba zangu najenga kwa gharama hiyo, mbezi kimara. Naongea for experience. Najenga kwa gharama hiyo appartment zangu. Nina mafundi wangu. Mimi sio kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…