aiseee... njoo nikukabidhi hizi million 20 mie nataga ghettto zuri yaani mremo wowowte wa jf akiingia lazima chupi ivuliweMilioni 15 hapo unatoa nyumba classic pamoja na hizo Tanganyika stones
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee... njoo nikukabidhi hizi million 20 mie nataga ghettto zuri yaani mremo wowowte wa jf akiingia lazima chupi ivuliweMilioni 15 hapo unatoa nyumba classic pamoja na hizo Tanganyika stones
Huo mzigo kama una kiwanja kikubwa unatoa vidude hata 10 vilivyoshikana.aiseee mzeya nina million 243 zimekaa beki nikikupa ssii tunatoa nyumba ata 6 hivi tule kodi
Nikajua kiwanja kiko Ndani ya hiyo mil 28🤔🤔oya wazee wa kataa ndoa na 3some tujichangishe basi tupate gheto letu safi kwa ajili ya wikend. mie nipo tayari kuwapa kiwanja. tufanye fasta fasta basi mwenzenu nimebakiza miaka miwili tuu ya kuishi.
bro sasa hi 28mil maana yake nahamia na begi langu asu sio?
Unawaza ngono tu😃😃😃😃aiseee... njoo nikukabidhi hizi million 20 mie nataga ghettto zuri yaani mremo wowowte wa jf akiingia lazima chupi ivuliwe
Niwaze nini mwanawane wakati nimebakiza miaka miwili ya kuishi hapa duniani na hela zipo 🤣🤣🤣🤣Unawaza ngono tu😃😃😃😃
Hapo mjengo tuu mwanawane. Yaani demu akiingia gheto letu kataa ndoa lazima chupi avue tuu.Nikajua kiwanja kiko Ndani ya hiyo mil 28🤔🤔
Kwahiyo unazichakata kwelikweli au sio🙂🙂Niwaze nini mwanawane wakati nimebakiza miaka miwili ya kuishi hapa duniani na hela zipo 🤣🤣🤣🤣
Haya njoo nikupe million 20 nataka ghetto kaliHuo mzigo kama una kiwanja kikubwa unatoa vidude hata 10 vilivyoshikana.
Kabisa mwanawane ndio burudani nambari one dunianiKwahiyo unazichakata kwelikweli au sio🙂🙂
Nikuoneshe kuwa kujenga nyumba siyoMKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa.
Gharama yake ni kiasi cha shiling million 28,000,000 tu mpaka finishing,Nyumba inakua na kila kitu kinachoitajika,maji,umeme,rangi ndani na nje,tiles,madirisha ya aluminum nk.
Namna ya malipo kwa Nyumba hii nikama ifuatavyo.
📍Malipo ya awali huanza na 30%=8,400,000
📍Deni 19,600,000
📍Mrabaha ni 10%=1,960,000
📍Jumla ya deni litakuwa 21,560,000
📍Muda wa marejesho ni miaka 4 Sawa na miezi 48.
📍Rejesho kwa mwezi litakuwa ni 449,000
Muda wakukabidhi Nyumba ni miezi sita tu.
VIGEZO;-
Uwe Mtanzania
Uwe na kiwanja chenye hati au nyaraka ya mauziano.
Kwa maelezo zaidi tembelelea office zetu zilizopo kitunda
0743257669
Nitafute whatsappView attachment 3226242
Upuuzi.mtupuMKOPO MKOPO wa ujenzi,

Utaperi huu,nyumba na kiwanja baada ya miak 4,vinarudi kwenu tena. CHAMBO KWENYE NDOANOMKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa.
Gharama yake ni kiasi cha shiling million 28,000,000 tu mpaka finishing,Nyumba inakua na kila kitu kinachoitajika,maji,umeme,rangi ndani na nje,tiles,madirisha ya aluminum nk.
Namna ya malipo kwa Nyumba hii nikama ifuatavyo.
📍Malipo ya awali huanza na 30%=8,400,000
📍Deni 19,600,000
📍Mrabaha ni 10%=1,960,000
📍Jumla ya deni litakuwa 21,560,000
📍Muda wa marejesho ni miaka 4 Sawa na miezi 48.
📍Rejesho kwa mwezi litakuwa ni 449,000
Muda wakukabidhi Nyumba ni miezi sita tu.
VIGEZO;-
Uwe Mtanzania
Uwe na kiwanja chenye hati au nyaraka ya mauziano.
Kwa maelezo zaidi tembelelea office zetu zilizopo kitunda
0743257669
Nitafute whatsappView attachment 3226242
Tena na chenji inabakiMimi nilijenga kama hiyo pamoja na kiwanja million 6 tu
Dsm Mbezi kimara. Na mfano nakupa.Upo wapi nikukabidhi mihela
Nina nyumba zangu najenga kwa gharama hiyo, mbezi kimara. Naongea for experience. Najenga kwa gharama hiyo appartment zangu. Nina mafundi wangu. Mimi sio kampuni.Una kampuni yako au ni fundi Michael? Nimeuliza sababu nipo interested
Najenga za kwangu,sijengei mtu.Haya njoo nikupe million 20 nataka ghetto kali
ebu ngoja nije nione huo mfano mwanawane. tuma picha pmDsm Mbezi kimara. Na mfano nakupa.
Leta namba pm ya whatsappebu ngoja nije nione huo mfano mwanawane. tuma picha pm
Sasa kwani utahenga bure sii nakulipa usimamiza au wee yanga hutaki kushika noti nyekundu 🤣🤣🤣🤣Najenga za kwangu,sijengei mtu.
Niko occupied kwa miaka mitatu ijayo.Sasa kwani utahenga bure sii nakulipa usimamiza au wee yanga hutaki kushika noti nyekundu 🤣🤣🤣🤣