Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

We ndo uliaga humu tukutane next year majira kama haya ? Au ulkuwa unajifunza unabii ili upate kutimia??
Sijawahi kuaga kukutana next year, labda mshangazi mwingine πŸ˜‚ πŸ˜…

 
kitu cha kijinga zaidi nlichowahi kufanya nilishindwa kuvumilia hisia zangu kwa madam wa kiswahili A level, nikamwandikia kibarua fln hivi. Baadae nliitwa pared nikawa mfano kwa wengine .sitomsahau niliaibika sanaa japo wana walinisifia sana sikupataga manzi mpk namaliza.
 
Daaah πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ kijana mwenye confidence yake, nimependa!
 
Hii ndio maana halisi ya ujasiri sasaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…