Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

Nina dogo langu kamaliza form six na alisoma CBG je ni course gani ya sayansi ambayo anaweza kusoma ili akimaliza atoke na ujuzi kichwani mbali na uhakika wa ajira. Ufaulu wake ni div 2 ya 11 yaani D flat.

Naomba kuwasilisha.
 
Wakuu Mimi nimemaliza Kidato cha Sita mwaka huu kwa mchepuo wa CBG Kwa kupata CHEMISTRY E, BIOLOGY E na GEOGRAPHY D Ivi naweza KUCHAGULIWA kujiunga na chuo chochote au nirudie MTIHANI na kama nikichagua kurudia nirudie masomo yapi?

Ndiyo unaweza kutuma maombi na kujiunga na mafunzo ya stashada(Diploma) bahati mbaya hujafikia points za kujiunga na mafunzo kwa ngazi ya degree. Usife moyo kama lengo ni kuwa na degree maliza Diploma ukiwa na GPA ya 3.0 then utakuwa na sifa za kujiunga na degree. Alternatively unaweza kujiunga na Foundation course ya Open University kwa mwaka mmoja ukifaulu kwa GPA ya 3.0 unaweza kujiunga na degree.
 
Kwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
 
Kwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
Tcu guide book inamajibu yote
 
Mkuu jaribu kuapply kwamaana Kuna watu mwaka uliopita ninawafahamu kabisa wamepita kwa ufaulu huo, lakini kikubwa angalia na kozi unazoapply.

Cha kukutia moyo Ni kua unapoapply jaribu kuapply na foundation course ili kwamba ukikosa bachelor uende hiyo na ukifanya vizuri mwakani unajiunga kupiga degree yako Kama kawaida boss.
 
Hello wakuu
Mm nimehitimu kidato cha sita mwakahuu kwa combination ya PCB
Matokeo yangu yamenikata maini kwakwel
NINA DDE physics ndio imeniungusha kabisa
Sasa kiukweli hapa nilipo nipo njia panda
Napenda kusoma kozi za afya ila kutokana na ufaulu wangu ww kama mzoefu unaweza ukanishauri niwapi nipite ili niweze kufikia mafanikio.
Je naweza nika anza na diploma ya clinical officer au kuna njia mbadala asanteni!! Ambayo ni nuzri zaidi sitaki kurudia mtihani!!
 
ushauri mzuri
 
Kwa matokeo haya huyu mtu anaweza soma microbiology au bachelor of science in molecular biology and biotechnology pale udsm
Chem D
Bio D
Geo C
Bam S
Gs D
Sifa anazo,

Lakini sikushauri uombe Udsm itakula kwako 100%

Na itakufanya urudie app 2nd round

Sababu,ni competition na capacity
 
Nina dogo langu kamaliza form six na alisoma CBG je ni course gani ya sayansi ambayo anaweza kusoma ili akimaliza atoke na ujuzi kichwani mbali na uhakika wa ajira. Ufaulu wake ni div 2 ya 11 yaani D flat.

Naomba kuwasilisha.
Usimshauri kabla hajakuambia anachotaka kusomea,

Akikuambia ndio umshauri,

Passion first every thing will fall in to place
 
Jinsi unavyotiririka napata wasiwasi na hiyo degree yako ya UD!!
 
Wakuu naomba msaada wenu Mimi nimemaliza kidato Cha sita mwaka 2020 na mimebahatika kupata division 3 ya 14 kwa mchepuo wa CBG na kupata CHEMISTRY E,BIOLOGY E, GEOGRAPHY D kwa alama hizo naweza kuchaguliwa kujiunga na University
Huwezi kwenda uni.
Nenda dip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…