Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

Kufanikiwa na akili ya mtu lakin pia kw utafit wangu mdogo wengi waliofanikiwa japo sio wote waliamua kuoa au kuolewa na wenza ambao sio walimu so kukawa na balance ya kupata muda wa kusimamia miradi waliyoanzisha
Kweli kabisa, wewe umemaliza.
 
Nina miaka miwili tu, lakini sioni nikikaa kabisa, kwa kujua ilo nimefanya vitu ambayo senior niliowakuta hawajafanya mzee, nafanya maandalizi ya kuondoka na kurudi mjini.
Utumishi watuambie ni watumishi wangapi wanapangwa kazi hawendi na hizo nafasi zao zinajazwaje au hao watanzania huko walikotakiwa kuhudumiwa wanaachwaje! maana kusema haya ninafahamu watu kadhaa hawakwenda walikopangwa Bora hata wewe umefanya miaka michache unarudi mjini.
 
Hiyo million 18 unakopa miaka 9 mzee, utasugua viatu mpaka ukome.
 
So ni kama wanamaanisha total amount unayoweza kukopa ni 200M ila ndiyo wanaikata kata kiasi kidogo kwa mtindo huo?
Mkuu,depends na mshahara wa mtu..siyo kwamba watumishi wote wa serikali wanaweza kukopesheka mil 200. Hyo 200 ni maximum kwa wale waliopo kwenye vitengo vinono na wana mishahara mikubwa. Wewe unaye pokea laki 5 unawezaje kukopeshwa mil 200?
 
Mkuu,depends na mshahara wa mtu..siyo kwamba watumishi wote wa serikali wanaweza kukopesheka mil 200. Hyo 200 ni maximum kwa wale waliopo kwenye vitengo vinono na wana mishahara mikubwa. Wewe unaye pokea laki 5 unawezaje kukopeshwa mil 200?
Sahihi kabisa chief. Anyway, hii nimeuliza kwa kuzingatia nina acquaintance ambaye amekopa karibia 100M in 3 years wakati TAMISEMI anaambiwa anaweza kopa 200M in a lifetime
 
Hongera sana πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ

min -me
 
Mkuu,kusoma kada nyingine hakuwezi kukuletea hayo manufaa. Kujiajiri ndo best option,temana na ajira mazima. Be free,huku makazin unoko ni mwingi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…