Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

Aisee weeee jamaa MUNGU akubariki Sana Kwa jibu lako.....
 
Karma is real believe or not ila mtenda hutendewa kuna instant karma na inayochelewa ,tenda wema utajalipwa wema tenda baya utapata malipo yake
 
Kama karma ipo, basi

MUNGU YUPO

SHETANI YUPO

KINYUME CHAKE NI KWELI PIA.
 
Inaonekana wewe ni fisadi papa na hapo unajifariji kisaikolojia
 
Karma zipo ni vile wewe hujachunguza au hujui mhusika anachopitia.Karma ipo ila mhusika akiomba huondoka.Hata Daudi alivyomchukua mke wa Uria Karma ilikuwa iingie nyumbani kwake ila kwakuwa aliomba msamaha Mungu alimsamehe Karma ipo ivi
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Unachezea mabinti za watu binti yako nae atakuja kuharibiwq
Uliharibu ndoa ya mwenzako ya kwako pia na za watoto wako ndoa zao zitapata shida
Uliua kwa hila utauwawa kwa hila
Unachezea binti za watu makusudi ukisubiri muda wa kuoa utulie utaoa gumegume au kuolewa na gumegume kama malipo uliyofanya
 
Karma ni nadharia mfu
 
Kuna mwanadamu asiyepitia misukosuko?
Yesu mwenyewe alipitia misukosuko , tuambie alikuwa katenda kosa gani ili tuamini ishu za karma
 
Hakuna Mungu anayelipa watu kwa matendo yao.

Huyo Mungu hayupo.
 
Sawa lakini, kumbuka hii dunia, kunasiri nyingi sana katika maisha yetu sisi binadamu, hatuwezi kufahamu zote, nakupa mfano mdogo tu, uchawi, unafaida na hasara, uko kwajiri, ya kusapoti watu, ambayo wanadhul
 
Karma is bitch, u can't run away from your sin , no matter faster your are one day will catch on you.
 
Mbona mababu zetu waliteswa sana kipindi cha ukoloni na walimwachia huyo Mungu lakini hajafanya chochote?

Huyo Mungu ni Mungu gani?
Ukoloni ulikua na faida na hasara, ilikua lazima, wafanye hivyo ili watutawale, ili kueneza, utamaduni wao, AFRICA, Ndio faida, tunaiona leo, walileta elimu, siasa na utawala wa kufata katiba. Pia na n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…