Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

Mkuu umeniquote vibaya: kwanza ni sahihi kwamba, Tabia njema haihusiani na mafanikio , mafanikio ni mchakato, ukiuweza huo mchakato ukapenya unatusua, huo mchakato ukikushinda, unafeli - karma.


Kwanza hii ndiyo raha ya kujadili na watu wenye uwezo wa kupambanua.


Mfano ulioutoa wa kuchukiwa na watu ilihali una tabia njema ni sahihi sababu binadamu tumetofautiana Kifikra na Mitizamo.


Ila hilo haliondoi maana ya karma sababu mtu mwenye tabia njema atapendwa na watu wengi zaidi kuliko mtu wa tabia za hovyo - Logic.


Mtu akitumia nguvu kubwa ili apate kitu fulani "kazi, Pesa, GradesAtSchool, Girlfriend au Boyfriend" na bado akakosa basi lazima kuna sehemu alikosea tu ambapo huko kukosea ndiyo kumempa matokeo - karma.


Ila akishaijua sehemu aliyokosea, au anafeli wapi next time lazima atakuja na mkakati madhubuti kwa lile suala, Atapenya.


Mifano uliyotoa hapo juu ni "Hasty Generalization" - Kutoa hitimisho la watu wengi based on wachache, Hiyo ni kawaida katika mijadala - lengo letu hua ni kutaka kujua. 👍🏾


Mfano mimi niliwahi kudate nademu fulani wa kabila X, Ila nikikumbuka mambo aloyonifanyia hua kuna time nakua Emotional, nahukumu kabila lao zima 😆, Japo sio kweli.


Logic - Mara nyingi sana watu wanapata matokeo kulingana na Maarifa waliyoyapata, Nguvu kubwa waliyoweka kwenye jambo fulani na Bidii.


Ukiona nguvu unayotoa kubwa kuliko unachopokea, rudi nyuma kidogo, chunguza kwa makini lazima kuna sehemu isiyosahihi uliweka Energy hivyo umepata hayo matokeo negative - Karma.


Kwa mfano huyo jamaa unaweza kukuta alisoma kitu tofauti na alichokutana nacho 😆😆, au kuna namna alikosea au tuseme bahati mbaya [Japo siamini katika bahati] Ila sio kweli kwamba wote waliokua na akili darasani kwenu walifeli.


Karma ni matokeo ya Tabia zako, Maarifa uliyonayo, juhudi na nguvu zako binafsi na si supernatural power.


Utavuna ulichopanda.


Mimi naitafsiri Karma kama msamiati tu, ni neno sawa na "Matokeo ya maisha yako yamechangiwa na...."


Tatizo Neno Karma linachukuliwa kama neno la ki-spirit, Labda "chatGPT" itusaidie:View attachment 3167367
Yeah sure.
 
Babu zetu waliteswa kwa sababu ya ushenzi waliokuwa nao wa kutoa watoto kafara kwa miungu yao.

Mungu ni wa haki,na karma ipo,usione mtu ana kila kitu ukadhani ana furaha.
Furaha ni zawadi ya bure kutoka kwa Mungu hasa akikupa moyo wa utoshelevu
Mungu gani wa haki aliruhusu utumwa na ukoloni utendeke Afrika?
 
Maombi ni illusion tu.

Hayana impact yeyote kwa watu. Zaidi ya kujifariji na kujipa matumaini uchwara tu.
Maombi ni therapy muhimu sana spiritually,ni jambo linaloleta nafuu mioyoni mwa wanamaombi.Issue sio maombi,issue je ni maombi ya namna gani.Ukijiponya kwa maombi ya upate nguvu,maono,na kuwa na matumaini ya kutenda kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa, tofauti na maombi ya kuomba ufanikiwe upate utajiri huku ukiwa huna bidiii na huna maarifa ya aina yoyote yale wewe ni kazi maombi, maombi na wewe hapo ni illusions.Maombi kwa namna ingine ni science ya affirmations.Iwe kanisani au msikitini au chini ya miti ukiomba mizimu lakini uyafanye kwa sayansi ya affirmation tu utapata matokeo kwa sababu maombi ni kujiponya ndio maana watu wanaofikiri sana kwa kina wanakuambia hakuna Mungu,na wanarudi wanakuambia Mungu ni wewe mwenyewe au kwa maneno mengine Mungu yupo ndani yako,ni nguvu zako kutokea ndani.From within,not from without you can do wonders and magic.Mungu is something figurative and allegorative, it's not something physical figure,no it's kind of energy flowing so you have to align yourself with it,to catch it's flowing and momentum. Catch it's frequecies and vibrations through positive affirmations.It doesn't matter unafanya mabaya au mazuri, mema au mabaya.At the end of the day, massive affirmations zitakupa changes kwa maana unayebadilika ni wewe through affirmations ambayo ndio maombi sasa.
 
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu, pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.

Ili ulazima huu U apply kwa kila kitu.

Na kwa hivyo, Kutakuwa na vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho (Endless) to Infinity...

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na havihitaji kuwa na chanzo.

Hivyo Ulimwengu, binadamu na viumbe hai wote except man-made things, Havina chanzo.
Neno chanzo maana yake ni nini?
 
Naona Atheists kule mmeshinda sasa mmeamua kuamsha varangati jingine huku

Kwani kiongozi Kiranga anasemaje nae kuhusiana na hili suala la Karma?

Tuna tabia ya kuo gelea na k7jadiki mambo bila hata ya kuya define kwanza.

Turudi kwenye definition.

Kwani karma ni nini?

Labda tuanzie hapo.

Maana nishawahi kumsikia mtu akiisema Newton's Third Law of Motion " "For every action, there is an equal and opposite reaction" kuwa nayo inaelezea karma.

Sasa,

Karma ni nini?
 
Maombi ni therapy muhimu sana spiritually,ni jambo linaloleta nafuu mioyoni mwa wanamaombi.Issue sio maombi,issue je ni maombi ya namna gani.Ukijiponya kwa maombi ya upate nguvu,maono,na kuwa na matumaini ya kutenda kazi kwa bidii na maarifa utafanikiwa, tofauti na maombi ya kuomba ufanikiwe upate utajiri huku ukiwa huna bidiii na huna maarifa ya aina yoyote yale wewe ni kazi maombi, maombi na wewe hapo ni illusions.
Kama unahitaji bidii pamoja na kazi, Maombi hayana haja wala tija tena.

If prayers without work is nothing, then prayer itself is nothing.
Maombi kwa namna ingine ni science ya affirmations.Iwe kanisani au msikitini au chini ya miti ukiomba mizimu lakini uyafanye kwa sayansi ya affirmation tu utapata matokeo kwa sababu maombi ni kujiponya ndio maana watu wanaofikiri sana kwa kina wanakuambia hakuna Mungu,na wanarudi wanakuambia Mungu ni wewe mwenyewe au kwa maneno mengine Mungu yupo ndani yako,ni nguvu zako kutokea ndani.From within,not from without you can do wonders and magic.Mungu is something figurative and allegorative,
Mungu na Maombi vyote ni illusions.

Ni dhana za kufikirika tu katika vichwa vya wanadamu.
it's not something physical figure,no it's kind of energy flowing so you have to align yourself with it,to catch it's flowing and momentum. Catch it's frequecies and vibrations through positive affirmations.It doesn't matter unafanya mabaya au mazuri, mema au mabaya.At the end of the day, massive affirmations zitakupa changes kwa maana unayebadilika ni wewe through affirmations ambayo ndio maombi sasa.
 
Tuna tabia ya kuo gelea na k7jadiki mambo bila hata ya kuya define kwanza.

Turudi kwenye definition.

Kwani karma ni nini?

Labda tuanzie hapo.

Maana nishawahi kumsikia mtu akiisema Newton's Third Law of Motion " "For every action, there is an equal and opposite reaction" kuwa nayo inaelezea karma.

Sasa,

Karma ni nini?
Ndo hiyo hiyo,

Kwamba mtu akimtendea mwenzake mabaya na yeye pia yatamrudia tena mara dufu zaidi
 
Karma mtu akiwa muuaji,karma yake ni kuwa na maisha mafupi.
Mtu mwizi karma yake ni kuwa maskini.
Mtu mzinzi karma yake kuchukiwa na watu
 
Kidogo nimekuelewa labda aje tena DR Mambo Jambo naona wapendwa katika bwana wapigwa za uso..
Nakubaliana Na Yeye Mkuu..
Au Umesahau Waarabu wanasema "Kama Tudin tudan"
"Kama Ulivyofanya Utafanyiwa Hivyo na Wewe"

Au Wazungu wanatufundisha Kuwa "What goes Around comes Back around"

Karma na Dharma bado ni Maneno ambayo bado watu wanashindwa Sana Kuyaelewa Vizuri Karma Zipo za Kila Aina kuna karma za Taifa kama taifa Mpaka kwa Individual..

Nimeona Mtoa Mada kazungumza Kuhusu Afrika Kuteswa na Kutawaliwa na Wazungu lakini Karma Bado haiwaadhibu wazungu..

Swali la Kujiuliza Ni kuwa... Huenda Waafrika walianza Kuwaadhibu wazungu Kabla Ya Wazungu miaka Mingi mbele nao kuna Kuwaonea Na Ndio maana karma ikawanyoosha..

Nani atakayepinga kwamba Misri ilitawala Dunia?
Nani anayepinga kwamba Elimu Ilianza Kutolewa afrika?
sasa kuna uwezekano kuwa Walioanza Kuwatawala wazungu walikuwa Waafrika baadae wakaja wazungu
 
Ukimcheka maskini karma will follow u utakuwa maskini,ila ukimcheka tajiri karma haikufuati!hapo ndio karma inaponitatizaga
 
Karma is real alafu karma inavyofanya kazi inakuwa personal malipo unayalipa personal kama ulivyokuwa unatenda personal basi na malipo yanakuwa personal, alafu malipo ya karma hayana kelele kabisa hata wewe unalipa hayo malipo unakuwa haujui kama unalipa.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Back
Top Bottom