Kuna binadamu wanatia juhudi sana kwenye maisha, lakini bado wana angukia pua.
Nakumbuka kipindi nipo Advance level, kuna jamaa mmoja alikuwa kombi ya PCM alikuwa anafua msuli vibaya mno. Yani alikuwa anapiga kitabu balaa.
Lakini mwisho wa siku Necta alipiga divisheni four.
Kuna watu wana tabia mbaya na wana mafanikio makubwa.
Kuna watu wana tabia njema ila hawana mafanikio na wengine ni maskini choka mbaya.
Kwa hiyo hakuna uhusiano wowote wa tabia njema na mtu kufanikiwa.
Mkuu umeniquote vibaya: kwanza ni sahihi kwamba, Tabia njema haihusiani na mafanikio , mafanikio ni mchakato, ukiuweza huo mchakato ukapenya unatusua, huo mchakato ukikushinda, unafeli -
karma.
Kwanza hii ndiyo raha ya kujadili na watu wenye uwezo wa kupambanua.
Mfano ulioutoa wa kuchukiwa na watu ilihali una tabia njema ni sahihi sababu binadamu tumetofautiana Kifikra na Mitizamo.
Ila hilo haliondoi maana ya
karma sababu mtu mwenye tabia njema atapendwa na watu wengi zaidi kuliko mtu wa tabia za hovyo - Logic.
Mtu akitumia nguvu kubwa ili apate kitu fulani "kazi, Pesa, GradesAtSchool, Girlfriend au Boyfriend" na bado akakosa basi lazima kuna sehemu alikosea tu ambapo huko kukosea ndiyo kumempa matokeo -
karma.
Ila akishaijua sehemu aliyokosea, au anafeli wapi next time lazima atakuja na mkakati madhubuti kwa lile suala, Atapenya.
Mifano uliyotoa hapo juu ni "
Hasty Generalization" - Kutoa hitimisho la watu wengi based on wachache, Hiyo ni kawaida katika mijadala - lengo letu hua ni kutaka kujua. ๐๐พ
Mfano mimi niliwahi kudate nademu fulani wa kabila X, Ila nikikumbuka mambo aloyonifanyia hua kuna time nakua Emotional, nahukumu kabila lao zima ๐, Japo sio kweli.
Logic - Mara nyingi sana watu wanapata matokeo kulingana na Maarifa waliyoyapata, Nguvu kubwa waliyoweka kwenye jambo fulani na Bidii.
Ukiona nguvu unayotoa kubwa kuliko unachopokea, rudi nyuma kidogo, chunguza kwa makini lazima kuna sehemu isiyosahihi uliweka Energy hivyo umepata hayo
matokeo negative -
Karma.
Kwa mfano huyo jamaa unaweza kukuta alisoma kitu tofauti na alichokutana nacho ๐๐, au kuna namna alikosea au tuseme bahati mbaya [Japo siamini katika bahati] Ila sio kweli kwamba wote waliokua na akili darasani kwenu walifeli.
Karma ni matokeo ya Tabia zako, Maarifa uliyonayo, juhudi na nguvu zako binafsi na si supernatural power.
Utavuna ulichopanda.
Mimi naitafsiri Karma kama msamiati tu, ni neno sawa na "Matokeo ya maisha yako yamechangiwa na...."
Tatizo Neno
Karma linachukuliwa kama neno la ki-spirit, Labda "chatGPT" itusaidie: