Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hiyo ndio ishapita,Trump lazima amalize muda wake kwa amani na usalama tele. Siku hizi systems ya Marelani ishajifunza kwa JFK kuwa kumuua Rais akiwa madarakani ni hatari bora kumuondoa mapema kama walivyofanya kwa mdogo wake JFK ndugu Robert/Bob Kennedy ambapo walimuua kwenye primary contest ya Democratic na alikuwa anaelekea kushinda kuwa mgombea Urais na alikuwa na asilimia kubwa ya kuwa Rais.Trump hatomaliza muhula wake,watamuua
Hawakuwa na mbadala wa uhakika ,kama kukosea walikosea mapema kabisa kabla ya kumsukumiza Kamala mwishoni wakati hajajiandaaNadhani Democrat walikosea kuchagua Mbadala tu lakini walikuwa sahihi kumpumzisha Biden!
Kamala unamlaumu Kwa lipi? Kwanza hakuwa na mipango ya Urais mpaka Joe amalize, Democrats ndio wamemsukumiza mwishoni wakati wakijua hajajiandaa,Kila mtu alijua Joe ataendeleahuwezi kujifungia ikulu kisha ukategemea kushinda uchaguzi na ndio maana kamama kakashinda New York na kule kwingineko kwa watoaji mimba na ndoa za jinsia moja pekee 🐒
Kamala biashara yake ya siasa ndio imeishia hapo,Democratic hawatarudia tena kucheza kamari ya mgombea mwanamke miaka mingi ijayo.Alimchagua Kamala mwenyewe lakini Kushindwa Kwa Kamala kumemfurahisha eti wakose wote,hovyo kabisa.
Anatakiwa kujua kwamba Kamala Bado umri unamruhusu na hata yeye alikuwa Rais Kwa mgongo wa Obama Sasa inakuaje anakuwa na nongwa? Kwa kupoteza kumbukumbu kwake angewezaje Kuongoza?
Team Obama ndio walifosi Biden ajiondoe kwenye kugombea,Obama hana tofauti na Mzee wa Fast Jet hawataki kukaa pembeni na kula pension zao wanataka kushika remotes. Kwa hili nampongeza sana Biden.Alimchagua Kamala mwenyewe lakini Kushindwa Kwa Kamala kumemfurahisha eti wakose wote,hovyo kabisa.
Anatakiwa kujua kwamba Kamala Bado umri unamruhusu na hata yeye alikuwa Rais Kwa mgongo wa Obama Sasa inakuaje anakuwa na nongwa? Kwa kupoteza kumbukumbu kwake angewezaje Kuongoza?
Jidanganye na subiria uchaguzi wa 2028 uone.Kamala biashara yake ya siasa ndio imeishia hapo,Democratic hawatarudia tena kucheza kamari ya mgombea mwanamke miaka mingi ijayo.
Ni kweli nafahamu kwamba ni Obama lakini Kwa nini walichelewa kumtoa Biden wakati alikuwa dhaifu Toka Mwanzo?Team Obama ndio walifosi Biden ajiondoe kwenye kugombea,Obama na tofauti na Mzee wa Fast Jet hawataki kukaa pembeni na kula pension zao wanataka kushika remotes. Kwa hili nampongeza sana Biden.
Kwa uimara wa ulinzi wa marekani waliweza vipi kupenya?Hao ni Iran na China nyuma ya pazia
Naona umeumia sana Trump kushinda mpaka unapoteza reasoning capacity ya kuona uhalisia,Kamala ndio basi tena aende akampikie mumewe na kulea wajukuu,Marekani haiwezi kuongozwa na Mwanamke kamwe,kama Hilary Clinton alijiandaa kwa kila kitu akashindwa ndio atakuwa huyu Kibibi alietumia dollars 1bn kwa campaign. Na Democratic hawatarudia tena huo uzwazwa wakuambatana na wanawake kuwa mgombea Urais.Jidanganye na subiria uchaguzi wa 2028 uone.
Atashindana na wagombea wengine akishinda atakamata usukani maana Kwa njia hiyo ndio mtu anajipima na wengine na kukubalika kwake tofauti na walivyomsukumiza awamu hii.
Mwisho Marekani sio sawa Tanzania Wala hawana hayao mawazo na Kwa taarifa Yako tuu Mke wa Obama ni miongoni mwa wagombea uchaguzi ujao.
Hizo incidents zipo tuu,hata Bush alipigwa kiatu akiwa madarakani sembuse Trump mgombea.Kwa uimara wa ulinzi wa marekani waliweza vipi kupenya?
Amesema atarudi kugombea,swala la basi tena litaamuliwa kwenye uwanja wa siasa na sio wewe.Naona umeumia sana Trump kushinda mpaka unapoteza reasoning capacity ya kuona uhalisia,Kamala ndio basi tena aende akampikie mumewe na kulea wajukuu,Marekani haiwezi kuongozwa na Mwanamke kamwe,kama Hilary Clinton alijiandaa kwa kila kitu akashindwa ndio atakuwa huyu Kibibi alietumia dollars 1bn kwa campaign. Na Democratic hawatarudia tena huo uzwazwa wakuambatana na wanawake kuwa mgombea Urais.
Hizo kura mbona hazijampa ushindi kama anapendwa na ana vigezo? Hiyo ndio ishaisha,akampikie mume wake tuu.Amesema atarudi kugombea,swala la basi tena litaamuliwa kwenye uwanja wa siasa na sio wewe.
Trump si alipata nafasi Kwa vile wenzie hawakujiandaa au? Ni kama Jiwe kwani bila mbeleko ya chama angemshinda Lowasa?
Mwisho kura hizo mil.69 za waliompigia unawazidi akili wewe kweli? 😂😂👇👇
View: https://x.com/spectatorindex/status/1854982835385647463?t=DYQJTahehPg9NkvUxgAplA&s=19
Namlaumu kwa kustukizwa na kukubali msalaba ambao hakuustahili , hakua amejiandaa kuubeba na kwakweli hakua na mipango ya maana na uwezo wa kukinywea kikombe hicho kilichomzidi uwezo.Kamala unamlaumu Kwa lipi? Kwanza hakuwa na mipango ya Urais mpaka Joe amalize, Democrats ndio wamemsukumiza mwishoni wakati wakijua hajajiandaa,Kila mtu alijua Joe ataendelea
Nchini kubwa wanatamani sana kama kusingekua na vyombo vya habari kama hivi yaani; wangependa kuwadanganya wananchi wao, sema technology ndio ipo mbali sanaAnafurahi uchhaguzi umeisha salama. Ingekuwa africa virungu, maji washa, lisasi za kuwasha macho, lakini hawa jamaa hakuna upuuzi huo. Hakuna kukata majina wapinzani wala kuwazuia mikutano. Huko ni fair play tu.....ccm oyeee na people's power oyeeee.
Kamala biashara yake ya siasa ndio imeishia hapo,Democratic hawatarudia tena kucheza kamari ya mgombea mwanamke miaka mingi ijayo.
Mengine naweza kukubaliana na hao walalamikaji lakini hilo la mwisho, sijui gender or traditional values hilo hapana, Democratic wapo hivo miaka yote. Mnamkumbuka yule aligombeaga na George Bush Jr kipindi chake cha pili? Nadhani alikua abaitwa Al Gore, kilicho mfanya ashindwe ni hayo hayo mambo ya ushoga, utoaji mimba ambavyo ni traditional values.Sasa hivi Democratic hapakaliki wanatupiana lawama za kushindwa,wengi wanamlaumu Biden kwanini hakutangaza mapema kuwa hatagombea ili kutoa nafasi kwa watu wengi kushiri primary ya mchujo,wengine wakisema sera za wakina Obama kuhusu genders,ushoga na ukisasa huku wakiacha mambo ya msingi kama vile kuongelea hali ya uchumi na kulinda traditional values ndio zimewaponza
Kwamba Obama hakutaka mwanamke agombee wakati alikua analaumu wanaume wa weusi kutomuunga mkono kamala!!Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume,Biden
Issue sio jinsia in fact hao Democratic usishangae wakasimamisha mgombea Shoga kama Pette Butigieg uchaguzi ujao!! So it has never been about gender ila udhaifu wa Biden kulikua hakuna namna ya kuzuia ule upepo.Kamala biashara yake ya siasa ndio imeishia hapo,Democratic hawatarudia tena kucheza kamari ya mgombea mwanamke miaka mingi ijayo.
Alishinda popular vote na alipoteza florida kwa kura Mia kadhaa tu otherwise angekua Rais. Mambo ya ushoga au jinsia sio issue sana US ndio maana Obama aliunga mkono na alishinda same to Biden. Ila hayo yakitokea huku bado uchumi unasuasua lazima tu uanguke kwenye sanduku. Kiufupi uchumi ndio concern ya kwanza hayo mengine hayaamui uchaguziMnamkumbuka yule aligombeaga na George Bush Jr kipindi chake cha pili? Nadhani alikua abaitwa Al Gore, kilicho mfanya ashindwe ni hayo hayo mambo ya ushoga, utoaji mimba ambavyo ni traditional values