Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump Kushinda

Biden ndio atabeba lawama na Obama wake.

By the way Democrats Ina wanawake wengi wenye Nguvu na mojawapo ni huyu hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCIxJDLCa72/?igsh=MWpmcW95c2hvcnE2aA==
 
I know that bro; was trying to explain to that dude above; kwamba Democratic miaka yote wao hayo mambo wana ruhusu so is not something strange kwa Biden/Kamala kuyaweka kwenye vipaumbele vyao; again kuna kingine kinanitatiza miaka ya hivi karibuni. Kwa zaidi ya miaka 25 sasa; Democratic ndio wanaiachaga vizuri sana USA kiuchumi, mfano wa karibuni ni hu wa Bush Jr na Obama, Bush aliiacha USA kwenye hali mbaya sana kiuchumi, ilipelekea ma bank kadhaa kufirisika, kampuni kubwa la magari la GMC halikadhalika, Clinton na Obama wali iacha vizuri sana kiuchumi Marekani; what's happening now with Democratic?
 
Kiongozi unamvamia mwamba Biden kwa tetesi za jf ya bongo, KWELI?!!!!!
 
Ila aliyempendekeza Kamala kugombea hiyo nafasi ni huyu huyu Babu Joe....
 
Hii ina make sense
 
Obama kweli ni real African mtu ulishawahi kuwa Rais wa nchi kama US lakini unang'an'gana na siasa kama ruba, wazake wazungu mda wao ukiisha wa uongozi wanaenda kulea wajukuu na wala huwasikii kwenye media wakileta majungu kuhusu vyama vingine badala yake wanakuwa washauri tu.
 
Hahaha Trump anawashinda wanawake tu, hana ubavu kushindana na Wanaume.
Afadhari hata wa awake hu a wanajaribu kupambana na trump wanaume Huwa wanatetemeka na kukimbia wakimuona Trump mfano Biden nenda kamuulize Nini kilimfanya amkimbie trump.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…