Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Hadi Sinza kwa wajanja wanapigwa na kanisa, bora nikaleweeeee
Ongeza na sinza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na sinza
Sinza na Mjombe sawa tuHadi Sinza kwa wajanja wanapigwa na kanisa, bora nikaleweeeee
Usharika wa Mwenge tukutane hapa. MCHUNGAJI KANANSIA ndio alikuwa kinara wa udalali wa utapeli huu
Wamesema watatupeleka jmosiNa wewe umepigwa kwa hiyo?
Msipowafuatilia mtakuwa mnawafuga. Mtafuganga genge la viongozi wa dini matapeliWamesema watatupeleka jmosi
HatareeKanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo.
Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi laki tano na sitini elfu kwa heka ambapo heka zote zilizopangwa kuuzwa ziliuzwa na baadhi ya waumini wengine hadi leo hawajawahi kupewa wala kuonyeshwa mashamba yao.
Malipo ya mauzo ya mashamba hayo yalifanyika kupitia account za kanisa hilo, kumbe ardhi inayouzwa ni mali ya Ranch za Taifa huku kanisa hilo likijua fika uhuni huo.
Katika kijiji cha Fukayose, Ranch imesema itaachia heka mia tu kwa kijiji. Kwenye kijiji cha Fukayose Ranch ina heka 3000.
Heka nyingine zimesambaa kwenye vijiji mbalimbali wilayani Bagamoyo.
View attachment 2639510
Wewe unaonekana una CHUKI KUBWA na KKKT
KKKT kwa ninavyowajua hawawezi kufanya uzembe kama huo, labda waliouziwa kuna terms hawakuzifuata vizuri
Mpendwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuh yalikuwa fake yale mashamba na watu wameyanunua bwana
Washarika wa Ubungo tujuane kwa Mch Oscar Mlyuka
Si kisha mtaja huyo kasisi?Mchungaji wenu anaitwa nani
Wanakufiraga Hao Wachaga Si Bure.Hakuna wa kuwatenganisha wachaga na wizi
Wamewaumiza sana waumini waoHataree
Nipo mimi habari ya weweHivi upoo?!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hayajanipata auntie sasa sijui ki kweli au vipi woiii roho ilikuwa inasita sanaaa kila nikitaka kuingia inakubali na inakataaMpendwaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ya Fukayose nawe yalikupata?
LemaMchungaji wenu anaitwa nani