Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Tunakaangwa kwa mara nyingineMkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa kupimwa, wakati Tume ya Upangaji wa Ardhi waliomba Tsh. Bilioni 10 kupima Vijiji 600 kwa Mwaka.
Miongoni mwa Matumizi ya Mkopo huo, Bilioni 5 zimetengwa kwa ajili ya Semina, Uratibu zaidi ya Bilioni 40, uboreshaji wa Ofisi za Wizara, Ujenzi wa Ofisi ya Kila Mkoa na Matengenezo ya Magari ya Wizara.
Namuona Dotto James sakina na Biswalo Mganga na Box la DolaKika mtu amepewa nafasi ajisevie. Hebu tuone;
1.January alikwapua bilioni 300.. kwa kutengeneza kampuni ya kihindi ambayo hatuijui na kusema kaipa tenda...
Ridhiwani atabakiza mifupa mitupu hapo wizarani
Khaaaa!!!!KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII imebaini matumizi mabaya ya fedha kiasi cha Bilioni 375 zilizopangwa kutumika kupima ardhi badala yake asilimia kubwa zimetumika kufanyia semina na kulipana posho za uratibu...