Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

Sometimes hii Nchi Ina viongozi wapumbavu sana,mambo ya hovyo kama haya nayo yatapita kimya kimya..

Mara kadhaa tumeshauri serikali iunde wakala huru ya kupima Ardhi na land administration kiujumla ila inaacha upotevu mkubwa wa pesa Kwa mambo ya beucracy.
Hayo ndio madhara ya KUCHELEWESHA kupatikana kwa katiba mpya, ni lazima tukubali hii iliyopo inabariki mazingira ya UPIGAJI
 
Kika mtu amepewa nafasi ajisevie. Hebu tuone;

1.January alikwapua bilioni 300.. kwa kutengeneza kampuni ya kihindi ambayo hatuijui na kusema kaipa tenda.

2. Nape alipewa billioni kadhaa kwa ajili ya anuani ya makazi ambapo tunaona nguzo za mitipori na vibao vya kuchora kwa wino.

3. Ridhwani nae kapewa billioni hizo..afanyie mambo yake. Kweli kufanya kazi na mwanamke bogus raha sana. Maana aghalabu mwanaume mwenzio akiwa bogus unaweza kumuogopa kwa sababu ya manhood yake.

Man,

You not free to talk to this extent,

Can you behave the Madame Head,

Remember they are watching you.
 
Hapo kijana Ridhiwani kashatia jino... ule ukoo pamoja na kula sana hawajashiba na kutisheka. Jamii nyingi za kiswahili huwa na tabia za ukupe na uroho uliopindukia kwakua kazi kwao si kipimo cha utu.
Na wewe nenda kale
 
Mambo kama haya ndio yanatakiwa mh.Rais kuchukua hatua,Kila siku nasema Mabula ni sukuma gang ambae anacchukua chake mapema Kwa sababu huenda asirudi bungeni next time..

Fukuza Waziri na Katibu Mkuu then wakalipe hizi pesa
Tafuta pesa dogo. Kama ni rahisi na wewe nenda kachukue
 
Kuna maswahiba wengine walitumbuliwa kwa mambo kama haya.


Hakuna jipya, endeleeni na pongezi.
 
Hapo kijana Ridhiwani kashatia jino... ule ukoo pamoja na kula sana hawajashiba na kutisheka. Jamii nyingi za kiswahili huwa na tabia za ukupe na uroho uliopindukia kwakua kazi kwao si kipimo cha utu.
uongo utakuua
 
Nimejikutwa natokwa na machozi tu,hii nchi yetu jamani,kila mtu aiombee kwa imani yake,siku moja tutafika tu ila tukiwa tumetepeta sana.
 

Hawa wanaiba lakini sio wababe.

Ila hii nchi inachezewa sana.
 
Back
Top Bottom