Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Hayo ndio madhara ya KUCHELEWESHA kupatikana kwa katiba mpya, ni lazima tukubali hii iliyopo inabariki mazingira ya UPIGAJISometimes hii Nchi Ina viongozi wapumbavu sana,mambo ya hovyo kama haya nayo yatapita kimya kimya..
Mara kadhaa tumeshauri serikali iunde wakala huru ya kupima Ardhi na land administration kiujumla ila inaacha upotevu mkubwa wa pesa Kwa mambo ya beucracy.
Kika mtu amepewa nafasi ajisevie. Hebu tuone;
1.January alikwapua bilioni 300.. kwa kutengeneza kampuni ya kihindi ambayo hatuijui na kusema kaipa tenda.
2. Nape alipewa billioni kadhaa kwa ajili ya anuani ya makazi ambapo tunaona nguzo za mitipori na vibao vya kuchora kwa wino.
3. Ridhwani nae kapewa billioni hizo..afanyie mambo yake. Kweli kufanya kazi na mwanamke bogus raha sana. Maana aghalabu mwanaume mwenzio akiwa bogus unaweza kumuogopa kwa sababu ya manhood yake.
Kimbuka semina zilikuwa ofisini na kwenye miti, Amna kujengeana UWEZO ,UWEZO mtaukuta mbelekwambele. R.i.P JPMEnzi za utawala wa jiwe habari kama hizi zilikua zinaminywa .
Duh !Pale dalali wa ARDHI anapopandishwa hadhi kuwa Waziri aitunze ARDHI 😳😳😳
Tusubiri
Na wewe nenda kaleHapo kijana Ridhiwani kashatia jino... ule ukoo pamoja na kula sana hawajashiba na kutisheka. Jamii nyingi za kiswahili huwa na tabia za ukupe na uroho uliopindukia kwakua kazi kwao si kipimo cha utu.
Tafuta pesa dogo. Kama ni rahisi na wewe nenda kachukueMambo kama haya ndio yanatakiwa mh.Rais kuchukua hatua,Kila siku nasema Mabula ni sukuma gang ambae anacchukua chake mapema Kwa sababu huenda asirudi bungeni next time..
Fukuza Waziri na Katibu Mkuu then wakalipe hizi pesa
Mi nikikula wewe inatoshaNa wewe nenda kale
uongo utakuuaHapo kijana Ridhiwani kashatia jino... ule ukoo pamoja na kula sana hawajashiba na kutisheka. Jamii nyingi za kiswahili huwa na tabia za ukupe na uroho uliopindukia kwakua kazi kwao si kipimo cha utu.