Mtendaji mzuri halazimishi kupendwa au kuchaguliwa.Anatenda kama hatendi,...
Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.
Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.
Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.
Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
Utter nonsense. Faki zati bichi!Anatenda kama hatendi,...

Samia hakuwwai kuwa mtaani kuua watu,Kwa mwanadamu yeyote, hata ufanye mazuri namna gani, ukiwa muuaji, ukiwa mdhulumaji wa haki za watu, ujue umefuta yote, kwani hakuna jema linaloweza kuwa mbadala wa uharamia wa kuondoa uhai wa binadamu wenzako. Gadafi alifanya mazuri mengi kwaajili ya Libya, lakini dhuluma dhidi ya hak8 za watu, zilimfanya achukiwe na wananchi wake walio wengi, na hakufanya uovu wa kufikia hata 25% ya huu uliofanywa na huyu wa kwetu. Kitendo cha Serikali ya Samia kutumia dhuluma, utekaji wa watu na mauaji ya watu kama njia ya kubaki madarakani, hatakuja kufanya lolote jema la kuufuta uovu huo.

Sasa mbona unapingana na Katiba? Mtu anayechaguliwa kuwa Rais lazima (must) awe amepata kuchaguliwa na walio wengi. Anafuata katiba, hana hatia.Ninaunga mkono hoja,
Yanayofanyika awamu hii ni mara kumi ya awamu zilizopita tatizo kubwa linaloumiza haters wa Samia Suluhu Hassan ni kumchukia personally.
Nilisharudia mara kadhaa humu kuwa matatizo ya nchi hii sio Samia Suluhu Hassan ndudu zangu.
NB,
Tutakuja kuelewana akishamaliza muda wake. 🙏
kwa hakika,Anatenda kama hatendi,...
Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.
Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.
Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.
Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
Akafie mbele huko tutamkumbuka negatively!Ninaunga mkono hoja,
Yanayofanyika awamu hii ni mara kumi ya awamu zilizopita tatizo kubwa linaloumiza haters wa Samia Suluhu Hassan ni kumchukia personally.
Nilisharudia mara kadhaa humu kuwa matatizo ya nchi hii sio Samia Suluhu Hassan ndudu zangu.
NB,
Tutakuja kuelewana akishamaliza muda wake. 🙏
Anatenda kama hatendi,...
Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee.
Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu.
Tumuombee,Tumtie nguvu,tumsupport na atatufikisha palipotakiwa bila shaka.
Ni Iron lady wa Tanzania na atafanikisha mengi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wale watakaokuja na replies za uchawa niwatahadharishe kuwa sijawahi kuwa na nasaba za uchawa na kamwe sitokuwanazo ...I SPEAK THE TRUTH,I RECALL THE BEST MOMENTS,I REMINDE THE EXPERIENCIES,THE PROMISES,THE FAILURES,I WARN AGAINST THE THREAT, THE LIES ,FAKE AND I PREDICT THE GREATNESS FOR TANZANIA!!
kwa hakika,
ni muhimu sana kama Taifa,
kumshukuru Mungu kwa kutupatia mama huyu Dr.Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wa Taifa letu.
Amekua baraka sana kwa kila mTanzania wa taifa letu.
God bless yuo Dr.Samia Suluhu Hassan
Ila reli na barabara zikijengwa ni yeye sio mifumo?Samia hakuwwai kuwa mtaani kuua watu,
Hayo ni matatizo ya mifumo.
Ndio,Ila reli na barabara zikijengwa ni yeye sio mifumo?
Mtendaji mzuri halazimishi kupendwa au kuchaguliwa.
Hauwi watu ili wampende
Alikuwa na miaka kumi ya kutangaza sera zake na uwezo wake, angeweza kuwa wini wa Tanzania, akachagua kusigina katiba ya Chama, akasigina Uchaguzi wote na katiba nzima. Akaua watu 10,000 na zaidi. Akajitangaza kuwa Rais aliyechaguliwa na watu wapatao 37 million, yaani 98% ya wapiga kura.
Kabla ya hapo alianza kuteka watu yeye na kundi lake, evidence zote zipo hata yule mkwe wake alivyokwenda mbeya akatangaza vita dhidi ya wasema ukweli. Uaaji na utekaji wa ajabu ukaanza.
Lisu kawekwa ndani. Kwa kesi wala haijulikani, sijui uhaini, lakini huyu bibi anajua kabiisa siyo kesi ya kweli.
Haya mambo huwa hayaishi hivi hivi. Lazima malipo yatakuwepo, huwezi kuua watu 10,000 halfu useme unanipa maendeleo, hayo maendeleo ya nini bila ya hao watu 10,000? Kwanza ungeonyesha utu wako.
Hii hapana, msifieni lakini mnajua kabisa hii haishi hivi hivi
Sawa. Acha aondoke na maovu yake. Lakni sio siri tena atatuachia maendeleo makubwa sana tu. Sisi tuendelee kumtukana tupendavyo lkn no way tutafaidi tu mazuri ya kazi zake.Kwa mwanadamu yeyote, hata ufanye mazuri namna gani, ukiwa muuaji, ukiwa mdhulumaji wa haki za watu, ujue umefuta yote, kwani hakuna jema linaloweza kuwa mbadala wa uharamia wa kuondoa uhai wa binadamu wenzako. Gadafi alifanya mazuri mengi kwaajili ya Libya, lakini dhuluma dhidi ya hak8 za watu, zilimfanya achukiwe na wananchi wake walio wengi, na hakufanya uovu wa kufikia hata 25% ya huu uliofanywa na huyu wa kwetu. Kitendo cha Serikali ya Samia kutumia dhuluma, utekaji wa watu na mauaji ya watu kama njia ya kubaki madarakani, hatakuja kufanya lolote jema la kuufuta uovu huo.