Kasi ya mabadiliko chini ya Rais Samia ni kubwa sana ipo siku tutamkumbuka!

Wewe ni chawa since day, uchawa umeuacha lini?
Back to your topic, that old witch isn't doing anything for Tanganyika. She is busy squandering and stealing the country's wealth and resources,taking everything she can put hands on to Zanzibar, Oman and Dubai.
Huyo bibi ni kibaka tu kama vibaka wengine.
 
C-H-A-W-A..........!!!!!!
 
Tutaachaje kumkumbuka mtu aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu? Hadi leo hii watu wanamkumbuka Adolf Hitler siyo kwa mazuri bali kwa maovu yake.
 
Nani amkumbuke takataka, nyang'au na muuaji??

Sisi tutawakumbuka mashujaa waliofia katika mapambano ya kupinga ufisadi, wizi wa kura, utekaji na mauaji.
 
Ndio,
Magufuli hakutoa vibali vya ajira tulifanya nini?
Alifungia mikutano ya vyama vya siasa, wote tulikaa kmya
Tulipiga kelele za kutosha hadi akataka malaika washuke ili wafungie mitandao. Alipofungia mikutano ya vyama vya siasa hatukukaa kimya, bali aliendelea kupewa ukweli, hadi ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore chaguzi zote, maana ukweli alikuwa anajua kwenye ushindani wa haki asingepata ushindi aliokuwa anaitaka.
 
Wadanganye akina Tlatlah na timu yao
 
Hii ni pamoja na kuua watu wakiwa majumnbani mwalo hapo tarehe 29 October?
 
Unge mention alicho/anachofanya,sababu binafsi namuona ndio rais mwenye uwezo mdogo kulingannisha na wenzake wote!
 
Sawa. Acha aondoke na maovu yake. Lakni sio siri tena atatuachia maendeleo makubwa sana tu. Sisi tuendelee kumtukana tupendavyo lkn no way tutafaidi tu mazuri ya kazi zake.
Nani ana mtukana rais Samia?
Kusema ameua watu hapo tarehe 29 Tena wengine wakiwa kwenye mabanda ya mpira ni kimtukana?
Kwamba alomgunga lisu il ashindane na kina dovutwa ni tusi?
 
Nani ana mtukana rais Samia?
Kusema ameua watu hapo tarehe 29 Tena wengine wakiwa kwenye mabanda ya mpira ni kimtukana?
Kwamba alomgunga lisu il ashindane na kina dovutwa ni tusi?
Hapana, hakuna tusi hapo. Matusi mnayomtukana sio hayo na mnayajua sn tu
 
Watu kama ninyi ndio mnasababisha wazungu waone waafrika ni kima.

Mnatetea upumbavu siku zote.
 
Maji Dar es Salaam shida
 
lete huo ushahidi wa makaburi 10,000
 
Hata kwa Gadafi walijitokeza waongo wa mithili hii na sasa wamejulikana
 
ndio mmepewa number ya 10000 kutoka kwa mabeberu ili muharibu image yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…