Kasi ya mabadiliko chini ya Rais Samia ni kubwa sana ipo siku tutamkumbuka!

since then ni lini specifically?
 
Yaani hujamuona Aweso akishughulikia??
taja maji ya shida eneo gani la Dar es salaam kwa sasa ??
Mbagala,chanika, manzese,mwananyamala kifupi maeneo yote ya uswahilini huku kwetu Mikocheni Alhamdullilah
 
Waswahili walisema, la kuvunda halina ubani.
 
Halafu kuna watu wanaona dini ndio zinatukwamisha waafrika katika maendeleo, ukweli ni kwamba shida ni sisi tu wenyewe waafrika.
 
Kafanya nini?
 
Tutaachaje kumkumbuka mtu aliyeua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu? Hadi leo hii watu wanamkumbuka Adolf Hitler siyo kwa mazuri bali kwa maovu yake.
Kwa mujibu wa TEC (ile taasisi inayomchukia Samia sababu ni Samia kupitia maelezo), au sio?
 
Huu uzi utakuja kuibuka tena 2035 na kuendelea na Kisha waliokutukana wote watakuomba radhi humu.

Haters, mchukieni Samia kwa chuki zenu zooooote (kama mnavyoelekezwa na TEC na chadema) lakini ukweli utabaki kama alivyosema mleta mada milele na milele.
 
Uchawa unao tena 100%, wala usijibaraguze!

Tupo kwenye mtanziko mkubwa sana wa kisiasa, kama umeamua kusifu na kusujudu, basi ilikupasa mambo yote yanayompa sifa thabiti za uongozi uziorodheshe hapa ili wanaomkataa wazitathimini.

Lakini kwa maneno makavu tu bila ya kielelwzo chochote, kwamba: sijui 'katufanyia mambo makuwa', 'iron lady'na ngonjera nyingine za sifa kama hizo ndiyo hazina ya machawa na walamba makalio wanazoshindia wakijitweza nazo midomoni mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…