GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unashangaa fisi kuanza kulana wao kwa wao?
 
Mbwa hii imekurupuka ikanijibu. Nimesema endapo reforms zikifanyika. Maana yake mifumo ya uchaguzi itakuwa mizuri na chadema itashiriki uchaguzi. Kama huna akili uwe unasoma tu comments za watu.
Kwahiyo wanaosoma comments za watu ndo hawana akili mkuu
 
๐Ÿค๐Ÿค Nihesabie na mimi huko kwenye namba 2. Jamii haiwezi kubadilika bila accountability. Ni vyema kila mtu apatiwe namba 2.
 
Nmesikitika sana why akutukane
 
Eti Meko asaivi anastarehe kisa alimuwahi Paroko wake akaungama......
Daaaaaa.
 
Kwa lipi ?
Mh Kassim Majaliwa Kassim ni;

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Mnyenyekevu.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Patriotic.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Intelligent.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Strategic.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Calm.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Visionary.

๐Ÿ“š๐Ÿ“š Truthful.
 
Uyo ameona anaweza kugombea ubunge na akapata lakini anaweza asiteuliwe Tena kuwa waziri mkuu,,kaona ni Bora aondoke kwa heshima ya uwaziri mkuu na sio kuja kudhalilishwa Tena kama mbunge WA kawaida wakati ulishafika nafasi ya juu kabisa kiuongozi
 
Huyu washauri wake wako sahihi sana, ile kupewa naibu wake, wakati cheo hiko hakipo kabisa ktk katiba, ilikua ni dharau na matusi kwake. Ilitakiwa ajiuzuru punde tyuuh.

Kila la kheri kwake, ktk maisha ya ustaafu wake.
Bungeni alisema anakuja kuchukua form tena leo hachukui ni kama kakatazwa vile na katii amri
 

Mzee wa "Rais yupo Ikulu anachapa kazi" hata akikwambia atagombea tena usimuamini.

Haaminiki katika lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ