Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

Haina tofauti na maelezo ya Shivji yeye alieleza nchi ktk muktadha wa state na country na akaongezea kuhusu nation. Ndiyo maana huyo jamaa aliposema kuwa kuna nchi mbili Tanzania na Zanzibar nikajoke kuwa nimeishia kusoma hapo kwa maana kuwa alichanganya.
Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili huru kuunda nchi moja (dola) kwa sasa ukisema kuna nchi Tanzania halafu kuna nyingine Zanzibar naamini utakuwa unakosea. Maana ardhi, mipaka, na dola vyote vinajumuishwa ndani ya URT
 
Dah haya capital city NY is whatever you said it is. But NY is still a state
Kwa hiyo umekubali ulikosea?

Mimi nataka kuona unakubali ulikosea tu.

Kukubali umekosea ndiyo kujifunza.

Usifanye shingo ngumu.

Plus, I still do not see why this whole brouhaha about capital cities is important.
 
Kwa hiyo umekubali ulikosea?

Mimi nataka kuona unakubali ulikosea tu.

Kukubali umekosea ndiyo kujifunza.

Usifanye shingo ngumu.

Plus, I still do not see why this whole brouhaha about capital cities is important.
Cha msingi kuna mji kuna mji unaitwa NY kwenye NY state.

Kwa hivyo hakuna maajabu kuwa na mji unaoitwa Dubai in Dubai Emirate.
 
Cha msingi kuna mji kuna mji unaitwa NY kwenye NY state.

Kwa hivyo hakuna maajabu kuwa na mji unaoitwa Dubai in Dubai Emirate.
Hujakubali umekosea.

Hakuna mtu aliyesema hakuna mji unaoitwa NY ndani ya NY state.

Hakuna mtu aliyesema hakuna mji unaoitwa Dubai katika Dubai Emirate.

I still don't see why this is important.

You are making pointless arguments about things nobody disputed
 
Wachumi wana kitu wanaita ‘diminishing return’.

Chemistries wanaita ‘saturation point’.

Baada ya hapo hakuna faida tena ni kupoteza muda tu.

On those assumptions 👋
 
Kwangu mimi naona kuna mambo mawili moja na lenye uzito kabisa ni swala la makubaliano yenyewe. Tumekubaliana nini na Dubai? Pili ndiyo hiyo Dubai ni nchi?
 
Wachumi wana kitu wanaita ‘diminishing return’.

Chemistries wanaita ‘saturation point’.

Baada ya hapo hakuna faida tena ni kupoteza muda tu.

On those assumptions [emoji112]
Mimi pia siwezi kufanya majadiliano na mtu mjivuni asiyeweza kukubali kwamba kakosea hata kwenye kitu kidogo tu.

Naona kama kwa mtu huyu kitu muhimu si kujifunza, kitu muhimu ni kutetea upande wake na kujionesha yeye anajua kila kitu.

Ndiyo unavyojionesha hapa.
 
Kwangu mimi naona kuna mambo mawili moja na lenye uzito kabisa ni swala la makubaliano yenyewe. Tumekubaliana nini na Dubai? Pili ndiyo hiyo Dubai ni nchi?
Kwa nini suala la Dubai ni au si nchi ni suala muhimu?
 
Na bila shaka, hizi Emirates ndogo ndogo ikiwemo ya Dubai nazo zina mamlaka yake Kamili ikiwemo ya kuingia mikataba ya kimataifa kama huu dhidi ya Tanzania...
Bila shaka ???? Kwa hiyo huna hakika, hujui. Mjadala wa bandari ni nyeti, mkataba umeleta shida kubwa, na umeligawa Taifa, kama huna hakika kaa kimya.

Dubai sio nchi.

Kama ambavyo Zanzibar sio nchi. Zanzibar haina kiti UN. Zanzibar haina Rais wa nchi, ndo maana Rais wa Zanzibar anaitwa "RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR," kama alivyo Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa UDOM, Rais wa Chama cha Walimu wa Chekechea na Rais wa Ruvu Shooting Football Club.

PM Majaliwa anajua Dubai ni nini lakini anadanganya. Kasim Majaliwa is the most brazen liar in the world. Anadanganyia misikitini.
 
Kwa nini suala la Dubai ni au si nchi ni suala muhimu?
 
Kwa nini suala la Dubai ni au si nchi ni suala muhimu?
You are dead wrong, premise of your question that is.

Ume assume kwamba kuna utata wa Dubai kuwa au kutokuwa nchi.

Dubai sio nchi is a fact. Dunia haiitambui Dubai kama nchi. Kwa hiyo hakuna mjadala au "suala la Dubai ni au si nchi."

Swali sahihi nadhani lingekuwa "Kwa nini Dubai kuwa sio nchi ni suala muhimu."

Naomba ulirejeshe swali lako kwa usahihi niliopendekeza ili niweze kulijibu.
 
At the end of the day sioni bright future ya huu muungano wetu. Ni swala la muda tu
 

Swali la "kwa nini Dubai kuwa sio nchi ni suala la muhimu" lipo ndani ya swali la "kwa nini Dubai kuwa ni au si nchi ni swali la muhimu"

Swali la pili limekuwa inclusive zaidi, halafu halijaweka assumption umesimamia wapi.

Kwa sababu naweza kukuuliza kutoka upande mmoja, halafu wewe ukawa hujasimamia upande huo, naweza kukukuliza upande wa "ni" wakati wewe umesimamia upande wa "si".

So swali la pili kimantiki liko inclusive zaidi na limebeba pande zote.

Kimantiki ni swali lile lile.

To be succinct and cut through "ni" na "si".

Kwa nini status ya Dubai kama nchi ni kitu muhimu?
 
Hawq watawara hawanq akiri hata mm rasaba najua dubai sio nchi ni jimbo au rugha ingine ni mkoa.
 
Kwa nini status ya Dubai kama nchi ni muhimu?
Dubai haina status ya nchi.

Kwa hiyo hatuwezi kusema "kwa nini status ya Dubai kama nchi ni muhimu."

Nadhani ungekubali tu kwamba swali lako linakosewa tungeweza kusonga.
 
Dubai haina status ya nchi.

Nadhani ungekubali tu kwamba swali lako lilikosewa tungeweza kusonga.
Swali halikukosewa. Wewe ndiye hujaelewa logic ya inclusivity.

Yani huelewi tofauti ya.

"What Do We Owe The Future?"

Na

"Do We Owe The Future?"

The second question is more inclusive and does not take a certain bias.

Kama Dubai si nchi, kwa nini Dubai kuwa si nchi ni kitu muhimu katika muktadha wa makubaliano haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…