Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

Ni hivi wewe diss ila magogoni ni kwa mama ,jipangeni 2030
 
Huyu aliepita bila kupingwa hana uhalali wa kuongea anayoongea.
.
 
Ila tukubali au tukatae haya Maneno ya majaliwa ni kweli kabisaa!!!! Sikuzote MUNGU anampa amtakaye hata ufanye vipi juhudi haishindani na KUDRA
Sabaya je? Muacheni Mola wa watu yuko busy na wagonjwa na yatima
 
Ameshindwa kubadilisha maisha yako na wanachadema wenzio ndio maana mnalia Lia hovyo.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kina reflect aina ya wanachama ilichonacho.

Kwa wastani watu wenye maisha magumu kiuchumi, watu wenye upeo mdogo wa kufikiri, watu wenye elimu za kuunga unga na majambazi wa mali za umma wanapatikana ndani ya chama cha mapinduzi kilichoasisiwa mwaka 1977.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani akihamia cdm atashinda??
Kuitoa CCM pale kwenye kiti sidhani kama ni kazi ndogo.

Pona yake ni kupambana asimame tena 2025 huko huko CCM hata kwa kuforce.
Lakini akisema ahame ndio kabisa hatapata chochote.
 
Unakomalia mbeleko,hakuna mbeleko mtapata mkuu,Rais ni Samia .. swallow this
 
Kwa sasa ukiwasikiliza hawa wanasiasa unaweza hisi ni watu wa maana, hususani hawa waliopita bila kupingwa kipindi cha uchaguzi 2020.
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini hata kidogo.
 
Reactions: Ame
mama na baba yako wasingekua malaya ungezaliwaje?

kwanza mama yako aliolewa akiwa na bikira?

kamuulize baba yako halafu ndio ulete majibu hapa kwanza....

otherwise shut your butt up and go on with the program!
Moto wa Malaya umerithi umalaya kutoka kwa Mama yako, unabwata kama malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…