Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

Msikitini yenyewe mingi ipo local na watu wanajitolewa hawa wanakuja na vitandishi ,wengine wanalipia umeme.


Kama partners miongoni mwa wasomi hamna katika kuanzisha biashara hata ndugu hawawezi kukaa chini kuanzisha viwand haswa ngozi nyeusi...Tabu tu ndoto ya viwanda aliimaliza Nyerere akaja nayo Magufuli ila tupo wapi?
 
Hatuna popote tulipofika kwa kweli tunakuja kulaumu wafadhili

Wafadhili ni sehemu ndogo sana ya kufanya jambo kazi ni kwetu sisi wenyewe kama taifa
 
Usiwapangie watu na pesa zao, ipi bora misikiti ya Mwenyezi Mungu au kiwanda?

Aisee kuna watu mnachuki sana na uislamu, pole sana.

Na utambue jiji la Darussalaam ni jiji la Waislamu, so kama unaishi dar hama!

Ni kweli waislam Dar ni yenu. Ila mnauza ardhi yenu kwa wakuja ambao sio waislam

Wachaga na wakinga wanaimaliza kariakoo kijiji cha waislam
 
Wanajenga temple zao ...Mbona husikii wanapunguza idadi ya temples...Acha kudanganywa kila kona sehemu za ibada zipo kama unaruhus starehe ushindwe ibada...ule msikiti uliovunjwa basi pamajengwa hekalu watu wanaabudu .
 
Kama ni kweli, kuna tatizo mahali; kuna kitu kinatengenezwa kwa huko mbeleni.
Nashauri mamlaka husika wasitishe vibali vya ujenzi.
 
ume andika PUMBA shekheee
 
China sio misikiti tu china hata makanisa wanayafyeka kama hujui ndio ujue
Uliza mbona sehem zakuabudia mabudha hawazivunji?
 
Kama ni kweli, kuna tatizo mahali; kuna kitu kinatengenezwa kwa huko mbeleni.
Nashauri mamlaka husika wasitishe vibali vya ujenzi vya hiyo misikiti.
 
acha kwanza wamtafute Mungu 🐒
 
mkuu kuna sehemu ulishaona wananchi wamejengewa kiwanda.
tumia akili yako kufikiria vizuri mkuu wangu
Yaani waumini wajengewe kiwanda na waumini wenzao
 
Mwenye hela kaamua kutoa sadaka ya msikiti na visima vya maji, serikali yako ndiyo Ina kazi ya kujenga shule,na Sasa mpaka sekondari ni Bure,mtoto anayefeli na asisome basi kataka yeye,wewe kawajengee viwanda
 
hawa hawaishii hapa kwa mlango wa nyuma wananunua maeneo yetu kupitia hao waliowajengea miskiti.
kiufupi hakuna cha bure bali tunatoa zaidi na wakati mwingine mpaka utu wetu!
 
Kama ni kweli, kuna tatizo mahali; kuna kitu kinatengenezwa kwa huko mbeleni.
Nashauri mamlaka husika wasitishe vibali vya ujenzi vya hiyo misikiti.
Unafikri waliotoa vibali mazumbukuku kwamba hawawez kufikiri au kuchanganua mpka kufikia uamuzi wakutoa vibali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…