Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Msikitini yenyewe mingi ipo local na watu wanajitolewa hawa wanakuja na vitandishi ,wengine wanalipia umeme.Mtoa mada ana hoja ila kakurupuka sana
Anadhani hela iliojenga misikiti 36 tuseme 50 inaweza ikajenga kiwanda kimoja
Yaani kujenga kiwanda sio jambo rahisi
Pia huko tambani kuna taabu ya maji sana tu ila bado anabeza ujengwaji wa visima
Pia mfadhili anafadhili eidha kinachomfaa ama anachoona anakiweza
Ilitakiwa kwanza aihoji sirikali yake kabla ya kuwahoji wafadhili
Kama partners miongoni mwa wasomi hamna katika kuanzisha biashara hata ndugu hawawezi kukaa chini kuanzisha viwand haswa ngozi nyeusi...Tabu tu ndoto ya viwanda aliimaliza Nyerere akaja nayo Magufuli ila tupo wapi?