Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Hao jamaa nawajua vizuri Sana. Wengi ni ombaomba na hawana msaada pia nakupaa hii usimkaribishe nyumbani kwako kama kuna mabinti/ mke wako.
Wachache waliosmart na wanaojitafuta ni ngumu Sana kuwakuta walevi.
 
Kuna mgeni toka nchi za magharibi...alisema polisi ya Tanzania kuna haja ya ku I reform...shida inaanzia CCP.
Huyo mgeni kutoka magharibi hata wao polisi wao hawapendwi hivyo hivyo tena polisi wa mbele wanaku arrest huku wamekupoint na mtutu wa bunduki hata uwe umefanya kosa la usalama wa barabarani kwahiyo dunia nzime wa reform polisi
 
Kuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Wewe ni kama mimi, sasa sijui mleta mada anatuambiaje? Sasa Afande Pili namfanyaje mimi? Tuwale tu hivyo hivyo mkuu! Ila kwangu kuoa itakuwa ngumu!😁😁
 
Mkuu upo sahihi 100% polisi sio kabisa yaani. Kuna mwanangu alikua na rafiki polisi wakikutana sehem za starehe anampiga ofa za kutosha, mishemishe kitaa wapo pamoja ila siku mwana alipopata msala the same polisi akamshushia vioo akamtreat kama total stranger ambae hata hawajawahi kujuana. Kifupi polisi ni cow dung.
 
Huyo mgeni kutoka magharibi hata wao polisi wao hawapendwi hivyo hivyo tena polisi wa mbele wanaku arrest huku wamekupoint na mtutu wa bunduki hata uwe umefanya kosa la usalama wa barabarani kwahiyo dunia nzime wa reform polisi
Tena wa huko ndo mawaki kinyama, kidogo gun Ina tolewa nje
 
Nina ma classmate wengi polisi na tunao kwenye group la WhatsApp, tunaenda nao kinafiki hivyo hivyo! Hawana maana hao umbwa juzi kati tukawa na changamoto moja, classmate mmoja na mtu tunatoka naye sehemu moja ambaye ni OC-CID akafanya juhudi za kumtoa mtuhumiwa wa mauaji kwa kuharibu ushahidi na upelelezi kwa ujumla! Umbwa kabisa hao! Matokeo yake mtuhumiwa akaachiwa! Huwa anajipendekeza kwangu nami namwangalia kama umbwa vile! Nyoko sana hawa watu! Tuishi nao kinafiki hivyo hivyo!
 
Ok
 
Ficha ujinga wako.Cheo ndio mfumo unaofatwa kwenye majeshi. Mkuu wa Polisi wa Wilaya hawezi kuzidiwa mamlaka na Mkuu wa kituo. OCD ni afande wa OCS.
Jamaa anaongea kinyumenyume!
 
Namwomba Mungu katika uzao wangu isijetokea mwanangu kuwa polisi. Uzuri nilishaacha maandishi ili hata kama nitakufa gafla wajue hilo.

KATAA POLISI
Mkuu nafikri utakuwa huwatendei haki watoto wako. Kama wana elimu yao nzuri waache wachukue tu hizo kazi ila kikubwa Sisi familia Tujitahidi kutoa maelezo Bora kwa watoto wetu wathamini utu ili hata wakipata hizo kazi watende haki, wakimtanguliza Mungu! Pamoja na uozo lakini wapo na Mapolisi wazuri pia!
 
Kweli kabisa, mara ya mwisho nilipigwa euro 300 pale Airport.
Nikakutana na huyo bwege Namanga anachange hela yangu.
Nikataka nimvae mpambe akasema kausha o bay hapo jirani tu.
Dah kwa msongo wa mawazo nikapata ajali usiku huo.
 
Hawa ni mbwa wakiambiwa shika wanashika wakiambiwa acha wanaacha.Kiufipi polisi wote ni mbwa hawafai hata kwakurumagia.

Hata polisi wakike awe na sura nzuri kiasi gani au tako kiasi gani sigongi.
hawa mbwa takataka.
 
Acha hizo na wewe! Nani alikwambia kwamba OCD ni mkuu wa kituo katika wilaya? Sema hivi OCD ni mkuu wa polisi wa wilaya full stop! Mkuu wa kituo anaitwa OCS (Officer Commanding Station). Kwa hiyo hata pale wilayani anapokaa OCD pana OCS!
 
Hata polisi wakike awe na sura nzuri kiasi gani au tako kiasi gani sigongi.
hawa mbwa takataka.
Mkuu, hawa tuwachakate tu hakuna namna! Tena ukimpata hakikisha hauishii kwenye kuchakata tu mpe adhabu kabisa, kama unanyanyua miguu hakikisha inakaribia kugusa dari!πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
 
Mkuu, hawa tuwachakate tu hakuna namna! Tena ukimpata hakikisha hauishii kwenye kuchakata tu mpe adhabu kabisa, kama unanyanyua miguu hakikisha inakaribia kugusa dari!πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
Haaaahaaaa we jamaa
 
Naunga mkono hoja ukiwa mnyonge ndio wanakunyoosha. Fanya kama ya hamza ikiwezekana ili kuweka heshima.
 
Polisi ni mashetani.
Polisi ni Nyoka, popote umuonapa unatakiwa kumuwahi na umponde kichwani mwake ili afe kabisa kabla hajakugonga na sumu yake kali.
 
Mikoa ya tanga, mtwara ni nadra sana kusikia watu wamebambikizwa kesi
 
Wewe usibishebishe tu,Mimi nilikua nahama kituo cha Kazi nimebeba mzigo yangu kwenye roli moja ya iyo mzigo ilikuwepo pikipiki tulipofika Dodoma ilikua kwenyee Saa Kumi na moja asubuhi pale kwenye mteremko WA nanenane tukasimamishwa na trafiki nilikua natokea moro,kosa Ni Ile pikipiki kuwa juu Bila kufunikwa jamaa akaiona na kusimamisha gari na kibaya Zaidi mabegi niliyatanguliza na basi na kadi ya pikipiki ilikua kwenye Yale mabegi.
Trafiki akataka kadi nikamweleza Mimi nahama Kiazi Bahati kadi Sina hapa na nikamweleza kila kitu aisee jamaa akaanza kunitisha mara pikipiki umeiba akachukua Namba ya pikipiki akaingiza kwenye ka mashine anaanza kusema. Sijui pikipiki hii imeibiwa na alieibiwa aliuawa yani Mambo ya hovyo tu mwisho WA siku akataka rushwa.
Kwa kuwa nilikua na haraka na Dereva WA roli alikua anataka kuniacha ikabidi nitoke rushwa ili niweze kuondoka sasa cha ajabu baadae ya kumpa Hela akanifundisha na Namna ya kuiweka ili nisikamatwe Tena huko mbele.Hawa watu Ni hatari sana
 
Ki saikolojia ya mitaani, mtu wenye urafiki sana na mapolisi huwa ana siri za kiuhalifu. Aidha wao p9lisi na huyo rafiki yake, ni wahalifu na wanafahamiana vilivyo. Au mmoja wao, raia, ni "informer" ambae anatumiwa na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…