Kataa ndoa. Leo wamepata point 3 ugenini, ilikuwa hivi...

Mkuu mgeni.

Mimi nimemwbia hivi aendele kuomba kapata Mke ambaye hafahamu, Nina muhakikishia hawezi kuchukua raundi akikutana na wanasheria wanaojua hasa wale wamama wanaoshusha miwani kwenye pua...
Kabisa Mkuu.

Nimesoma mawazo yake ni mtu mwenye stori za kijiweni. Hazina uhalisia wa mambo.

Ndoa na sheria ya ndoa kwa sasa ni janga kubwa sana. Na likifika mahakamani ndio kabisaa linakuwa tatizo lakudumu.

Sheria yetu ya ndoa imemlinda mwanamke visivyo kawaida ya desturi zetu.

Mtu kuingia kwenye ndoa inabidi ufikirie sana.
 
Nimesema miezi sita kama mfank sababu ndivo inavojulikana mtaanj.

Hii debate tukiendelea haina mwisho...
Wewe Mkuu kwanza jua kutofautisha mambo.

Ishu ya Vicky yeye ni kimada sababu mhusika alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambazo nyingi ni za kikristu. Sasa jua kutofautisha hayo mazingira na mazingira ya wewe kuishi na mwanamke miaka 2+ ukiwa huna ndoa yoyote ya mke mmoja.

Alafu narudia kukwambia kuwa hatuna hicho unachokiita by law kwenye sheria ya ndoa. Kwanza unatakiwa kujua maana ya by law na ni kanuni za namna gani.

Jambo la mwisho usisikilize stori za vijiweni kuhusu sheria nyingi ni uongo na ujuaji wa bush lawyers.

Tulia upewe shule Mkuu.
 
Wewe Mkuu kwanza jua kutofautisha mambo.

Ishu ya Vicky yeye ni kimada sababu mhusika alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambazo nyingi ni za kikristu. Sasa jua kutofautisha hayo mazingira na mazingira ya wewe kuishi na mwanamke ...
Huenda amejaribu ku justify stori yake kwa namna hii.

Nimeamua tukubaliane kutokukubaliana.

ILA kama ana uhakika na anachongea ni suala la muda ngoja mwanamke aendelee kukusanya ushahidi.
 
Huenda amejaribu ku justify stori yake kwa namna hii.

Nimeamua tukubaliane kutokukubaliana.

ILA kama ana uhakika na anachongea ni suala la muda ngoja mwanamke aendelee kukusanya ushahidi.
Sure.

Akimkosa kote ataenda kumkamatia kwenye ahadi ya ndoa. Hapo ndio ataona dunia haina huruma.

Tunajitahidi sana kutaka kuzuia mali zetu zisiwe mali za ndoa ila ni swala gumu sana.

Mnaweza mkaandikishiana kutenga mali za ndoa na mali binafsi ila baadae Mahakama ikasema hoyo makubaliano hayakuwa na nia njema. Ikayafutilia mbali, mkagawana mali zote zilizopo.

Ni swala tu la mtu kuwa na wakili smart atakayeisaidia Mahakama kuona namna gani wanandoa hao waliingia makubaliano wakiwa na ajenda za siri. So hakukuwa na taarifa sahihi kwa pande zote.

Ni bora tu mtu ukaamua kukaa kimya na kustawisha ndoa yenu bila kuibua ghasia hadi kifo kiwatenganishe.
 
Hii haijasomeka bado chief wataka kusemaje tuoe ama tusogeze tu 🤣🤣
 
Aisee.

Inasikitisha sana .
 
Ndio maana wazungu wapo radhi mali zao kuwarithisha hata paka au mbwa lakini sio wake zao.

Jackie Chan amekataa kabisa mali zake kuwarithisha watoto zake, amewaambia watafute kwa jasho lao kama yeye.
 
Kwa hiyo upendo ni mwanaume kutoa pesa na kumpa mwanamke?

Kwani lengo la mwanaume na mwanamke kuoana ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…