RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Hii mbinu inafanywa katikati na sio mwanzoni. Hapa unaepusha consistent financial vampires . Mwanzoni we mwaga tu ila unakuwa unapunguza punguza, .Hii mbinu ya kujaribu sio kabisa unaweza pishana na mtu sahihi wa maisha yako
Mbinu hii nimeitumia kwa mafanikio makubwa na imeniepusha na mengi sana, unaitumia pale ambapo unaona mambo yamekolea.Hii mbinu ya kujaribu sio kabisa unaweza pishana na mtu sahihi wa maisha yako
Sasa ndio wanasemaje Mwanamke kufikiri kwake sio straight ni konakona nyingi Ila Mwanaume ni straightforwardAkili za mwanamke sio mara mbili ya mwanaume sema ana ubongo mkubwa mara mbili ya mwanaume.
Kuwa na ubongo mkubwa haimaanishi ana akili kubwa. Most of the world breakthrough inventions zimefanywa na wanaume.
Hayanaga muongozo mkuu cheza kuendana na biti .Hii mbinu inafanywa katikati na sio mwanzoni. Hapa unaepusha consistent financial vampires . Mwanzoni we mwaga tu ila unakuwa unapunguza punguza, .
Mwanaume hatamki nakupenda Bali hutamka pale mwanamke anapoanza kusema I love you bae ,Kisha unasema I love you too bae.mimi nilishakula kiapo... Sitongozi tena mwanamke... Mimi nilitongoza kwa nia njema kabisa... Akasema "wewe ni kaka yangu, na tutaendelea kuwa kama kaka na dada" asee niliona aibu sijui ata ilitoka wapi... Lakin yule msichana anajiheshimu kwa kwel... Ila na mimi nimeapa sitanyanyua midomo yangu kutamka neno "fulani nakupenda" badala yake nikipenda nitajitahd kumfanya yeye ndio atamke... Kujipendekeza sio kuzuri kwakwel... amna kabisa aah...
Wanatumia emotions kuliko akili. Usipotrigger emotions zake lazima uone konakona nyingi.Sasa ndio wanasemaje Mwanamke kufikiri kwake sio straight ni konakona nyingi Ila Mwanaume ni straightforward
Ni kweli hayana muongozo ila kuna njia za kufanya Ili yawe na muongozo.Hayanaga muongozo mkuu cheza kuendana na biti .
Yes huyu ni Mimi kabisaWanatumia emotions kuliko akili. Usipotrigger emotions zake lazima uone konakona nyingi.
The first thing inayotrigger emotions za mwanamke ni physical appearance na cha pili ni confidence, cha tatu ni status,pesa Iko mbele sana.
Namba mbili ndo inawafanya wanawake wawapende maplayboy.
Ukiwa na sura personal, uwe na confidence na pia mwili ujengeke ila pia uwe na mzigo mkubwa hapo down.
Unamaanisha nini kwanza?Yes huyu ni Mimi kabisa
Matokeo ya Majeraha waliyokutana nayo walipojaribu kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi yaan ni ndoige kwa kwenda mbeeleKama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,
Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
Sidhani unaweza fuata hiyo miongozo na bado ukaangukia puaNi kweli hayana muongozo ila kuna njia za kufanya Ili yawe na muongozo.
Hapa naweza pinga hii argument, Ina ukweli wa asilimia 65%.Kama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,
Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
Wanawake wengi nowadays wako below standards za ndoa kamili.Sidhani unaweza fuata hiyo miongozo na bado ukaangukia pua
Kama huwezi kuishi mwenyewe bila mwanamke hakikisha unaoa mwanamke tajiri kwasababu ndoa ni ajira kwa mwanamke masikini na asiye na akili ya maisha
Sijui umeshaelewa mleta mada
Oa wawili kama Mzee RukhsaHuyo mwanamke wa kuishi naye akupe furaha ni wa kile kizazi cha enzi zile ila sio hawa wa 50 kwa 50
Sa hivi ukioa tu jiandae na presha, kisukari, na magonjwa mengine sugu(sio Mr 2)
Hilo lipo na linachangia tasnia ya ndoa kuwa ngumu zaidi, sikupingiWanawake wengi nowadays wako below standards za ndoa kamili.
Modernizations imepelekea jambo hili.
Akili hapa ni nini? Zile za darasani? Au akili game au Akili Mali.Nimeandika mwanaume amzidi kwa akili maana yake na mwanamke awe nazo.
Ni kama darasani tu, kuna IQ ya 200, 160, 130 ila isiwe chini ya 115.
MTUME Petro alisema tuishi nao kwa akili.Hilo lipo na linachangia tasnia ya ndoa kuwa ngumu zaidi, sikupingi
Hiyo ni sahihi sana na tuishi humo daimaMTUME Petro alisema tuishi nao kwa akili.
Neno "akili" ndo muhimu.
Nilitoa mfano tu .Akili hapa ni nini? Zile za darasani? Au akili game au Akili Mali.
Akili ya gemu ukiongeza na Mali basi ni kama icing on the cake.
Mali bila game ni msala, na vice versa