Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Akili za mwanamke sio mara mbili ya mwanaume sema ana ubongo mkubwa mara mbili ya mwanaume.

Kuwa na ubongo mkubwa haimaanishi ana akili kubwa. Most of the world breakthrough inventions zimefanywa na wanaume.
Sasa ndio wanasemaje Mwanamke kufikiri kwake sio straight ni konakona nyingi Ila Mwanaume ni straightforward
 
mimi nilishakula kiapo... Sitongozi tena mwanamke... Mimi nilitongoza kwa nia njema kabisa... Akasema "wewe ni kaka yangu, na tutaendelea kuwa kama kaka na dada" asee niliona aibu sijui ata ilitoka wapi... Lakin yule msichana anajiheshimu kwa kwel... Ila na mimi nimeapa sitanyanyua midomo yangu kutamka neno "fulani nakupenda" badala yake nikipenda nitajitahd kumfanya yeye ndio atamke... Kujipendekeza sio kuzuri kwakwel... amna kabisa aah...
Mwanaume hatamki nakupenda Bali hutamka pale mwanamke anapoanza kusema I love you bae ,Kisha unasema I love you too bae.
Sema kutongoza na mapenzi ni vitu vinavyo enda pamoja na kukinzana pia.
 
Sasa ndio wanasemaje Mwanamke kufikiri kwake sio straight ni konakona nyingi Ila Mwanaume ni straightforward
Wanatumia emotions kuliko akili. Usipotrigger emotions zake lazima uone konakona nyingi.
The first thing inayotrigger emotions za mwanamke ni physical appearance na cha pili ni confidence, cha tatu ni status,pesa Iko mbele sana.
Namba mbili ndo inawafanya wanawake wawapende maplayboy.

Ukiwa na sura personal, uwe na confidence na pia mwili ujengeke ila pia uwe na mzigo mkubwa hapo down.
 
Kama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,

Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
 
Yes huyu ni Mimi kabisa
 
Kama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,

Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
Matokeo ya Majeraha waliyokutana nayo walipojaribu kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi yaan ni ndoige kwa kwenda mbeele
 
Kama hujazaliwa na kulelewa kwenye ndoa huwezi kuikubali ndoa, kama umezaliwa na kulelewa kwenye ndoa iliyokua na maelewano mazuri lazima uikubali ndoa,

Wakataa ndoa wote ni matokeo ya malezi mabovu tangu utotoni mwao.
Hapa naweza pinga hii argument, Ina ukweli wa asilimia 65%.

Kuna watu wamelelewa vizuri sana na wanandoa ila wanapata wenza ambao hawamatch standards za waliowalea. At the end of the day anasalitiwa alafu maumivu anayopata inampelekea apate fikra hizi.

Nimeshuhudia haya mambo.
 
Kama huwezi kuishi mwenyewe bila mwanamke hakikisha unaoa mwanamke tajiri kwasababu ndoa ni ajira kwa mwanamke masikini na asiye na akili ya maisha

Sijui umeshaelewa mleta mada

Huyo mwanamke wa kuishi naye akupe furaha ni wa kile kizazi cha enzi zile ila sio hawa wa 50 kwa 50
Sa hivi ukioa tu jiandae na presha, kisukari, na magonjwa mengine sugu(sio Mr 2)
Oa wawili kama Mzee Rukhsa
50 huku 50 Huku una mia tayari
 
Akili hapa ni nini? Zile za darasani? Au akili game au Akili Mali.
Akili ya gemu ukiongeza na Mali basi ni kama icing on the cake.
Mali bila game ni msala, na vice versa
Nilitoa mfano tu .
Akili ya mahusiano ni namna mwanaume atafanya Ili mwanamke wake akubali awe chini yake, it's not a matter of money. Watu Wana hela na wanagongewa.

Akili ni kuhakikisha mwanamke anakurespect, mwanamke asipokuheshimu , amekataa kusubmit kwako at the end of the day atatafuta mwanaume ambaye atakuwa tayari kusubmit kwake.

Akili maana yake mwanaume anagundua tatizo mapema kabla haya ya mwanamke hajalijua au anaweza kuwa ashalijua ila anaogopa kusema na pia uwezo wa kulitatua tatizo.

Akili ni kumfanya mwanamke wako awe lover kwako na kuspot kama kweli anakupenda ama hisia zake ziko kwingine.

Akili ni kuhakikisha unatawala hisia za mwanamke most of the time.
 
Back
Top Bottom