Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

Kataa ndoa wanasema kama mwanamke Tajiri oa...
Wao hawataki mwanamke masikini tu...

Hapo kataa ndoa wana hoja nzuri.

Nauliza swali Je wanawake matajiri huwa wanakubali kuolewa na wanaume maskini ?

Maskini wengi wana akili ndogo, washirikina na wachawi wachawi

Bilnass kumuoa Nandy ni bonge ya akili kwenye career yake .
 
mimi nilishakula kiapo... Sitongozi tena mwanamke... Mimi nilitongoza kwa nia njema kabisa... Akasema "wewe ni kaka yangu, na tutaendelea kuwa kama kaka na dada" asee niliona aibu sijui ata ilitoka wapi... Lakin yule msichana anajiheshimu kwa kwel... Ila na mimi nimeapa sitanyanyua midomo yangu kutamka neno "fulani nakupenda" badala yake nikipenda nitajitahd kumfanya yeye ndio atamke... Kujipendekeza sio kuzuri kwakwel... amna kabisa aah...
Fresh nimekuelewa, ila Mzee unakata tamaa baada ya trial moja🤣 endelea kujaribu kwan unapungukiwa nn ila usiwe kama ng'ombe sasa unaendaenda kama zombie, watu tumekataliwa zaidi ya mara tano na tumekuja kukubaliwa zaidi ya mara kumi.
 
Kama huwezi kuishi mwenyewe bila mwanamke hakikisha unaoa mwanamke tajiri kwasababu ndoa ni ajira kwa mwanamke masikini na asiye na akili ya maisha

Sijui umeshaelewa mleta mada
 
hahahah mkuu nimeingia kwenye game kwa mara ya kwanza nakutana na kisiki... Unafkir ntaendelea... Ila nimecheka kwenye kukataliwa mara 5 afu ukakubaliwa mara 10[emoji23]
Broo true story, kabla ya kukubaliwa lazima ukataliwe ili sasa ukikubaliwa ujue utamu wake🤣
 
Hiyo ni kwenye maziwa tu, lakini

Ni kweli, ingawa mwenye ng'ombe hanywi maziwa yaliyochakachuliwa.

Hii ni sawa anaekula kwa mama nitilie, na anaejipikia, kwa mama mtilie kuna nafuu, ila walaji wanapitia mengi, kuliko anaejipikia.
🙂 maziwa yaliyochakachuliwa bado ni maziwa
 
Kama huwezi kuishi mwenyewe bila mwanamke hakikisha unaoa mwanamke tajiri kwasababu ndoa ni ajira kwa mwanamke masikini na asiye na akili ya maisha

Sijui umeshaelewa mleta mada
Sikupingi mkuu, ila huya tajiri nae hupenda kuvutwa na gari zima. Mtiti huwa ni hapo!
 
Back
Top Bottom