Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako
Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha nzuri, Sometimes have privacy ,haina haja ya kumuangalia jirani yako anapokuwa bize na simu yake.
Let me know kama umeshawahi kuwa muhanga wa jambo hilo👇✍️