Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Tatizo linakuwa simu ni kubwa kuliko hand palm. Mwanga mkali , na kuji show off kwamba nawe una simu kubwa. tujiangalie na sisi kwanza na ulimbukeni wetu kabla ya kuwatuhumu hao.
 
Sasa wengine munaangaliga senema na ile senema kama nzuri tusichungulie , tutachungulia
 
Back
Top Bottom