Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Nilishawahi kuwa safarini nikakaa siti moja na mmama wa kanisa (nilijua kuwa ni wa kanisa sababu walikuwa wengi wamevaa tshirt sare na story zao zilikuwa za mambo ya kanisa). Huyu mama ilikuwa kila nikitoa simu anachongoa shingo kutaka kuchungulia.

Nikaona isiwe kesi, nilikuwa na clip za ngono kwenye simu. Nilianza ku play hizo huku nikiwa na earphone halafu sijali wala nini. Alitupia jicho kuona mnyanduano ndio ikawa kama nimemchochea kuangalia. Unaona kabisa anatamani hata kuniambia nimsogezee simu.

Itoshe kusema Mama wa Kanisa alikuwa mdau mzuri wa pilau maana tuliangalia wote za kutosha bila kuongeleshana na kile nilichodhani kitakuwa adhabu kwake kilibadilika kuwa starehe kwake.
 
Na ninyi mnakera sana.Daladala imejaa wewe uko kwenye simu huwezi vumilia dakika ishirini ukitelemka uanze Kuchat? Simu ni private kama uliamua kuitumia in public basi simu inakuwa si private tena inabidi ukubaliane na chochote.Kama ni kwa safari ndefu hapo tunaweza kukuelewa.
 
Nilishawahi kuwa safarini nikakaa siti moja na mmama wa kanisa (nilijua kuwa ni wa kanisa sababu walikuwa wengi na story zao zilikuwa za mambo ya kanisa). Huyu mama ilikuwa kila nikitoa simu anachongoa shingo kutaka kuchungulia.

Nikaona isiwe kesi, nilikuwa na clip za ngono kwenye simu. Nilianza ku play hizo huku nikiwa na earphone halafu sijali wala nini. Alitupia jicho kuona mnyanduano ndio ikawa kama nimemchochea kuangalia. Unaona kabisa anatamani hata kuniambia nimsogezee simu.

Itoshe kusema Mama wa Kanisa alikuwa mdau mzuri wa pilau maana tuliangalia wote za kutosha bila kuongeleshana na kile nilichodhani kitakuwa adhabu kwake kilibadilika kuwa starehe kwake.
Hii dhana ya watu wa dini ni wema nimekuja kuiamini sio, kuna raia ni vijana/wazee wa hovyo kabisa mpaka unajiuliza huyu zinamtosha kweli?

Kivuli cha dini kisitumike kuficha "ungubaru wao".. Halafu sometimes unamkuta ni mtu mzima na heshima zake ila matendo sasa...
 
Back
Top Bottom