Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako

Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha nzuri, Sometimes have privacy ,haina haja ya kumuangalia jirani yako anapokuwa bize na simu yake.

Let me know kama umeshawahi kuwa muhanga wa jambo hilo👇✍️
yaani uko kwenye mkusanyiko wa watu halafu una have privacy? Kweli?
Inawezekanaje hiyo coz kuona unatumia simu ni kawaida na kuangalia ulichokodolea macho ni choice yake huyo jirani kwasabb hakuna privacy hapo. Privacy si uende ujifungie chooni au chumbani na ujiachie na cm yako
 
Hii kitu sometimes haiepukiki , we unakuta mtu yuko mbele yako mfano kwenye daladala kila ukiangaza macho mbele simu yake ndo unaiona, kwa hiyo niogope kuangalia mbele kisa simu ya mtu.......
 
Wapo wanaochungulia, lakini wengi wenye simu hutaka watu wachungulie, wakiwa sasa mtu yupo kwenye daladala, anacheki ma video yake ya insta, sauti ipo juu!! Lazima uta attract attention!
We umekaa kwenye siti,mie nimesimama! We umekazana ku peruzi ma video yako! Tena kwa sauti kubwa!
Unakuta mtu ana angalia muvi iliyotafisiriwa make lele kibao! Lazima, watu watakakodoa macho!
Hv kweli hakuna kingine cha kufanya ni ku peruzi ma video tu ya insta?
 
Naanza kukuundia zengwe, nakufatilia ili watu wajue huna lolote zaidi ya kujibrand tu humu. [emoji1787][emoji119]
Ivi kumbe wengne hawapo wanavyodai [emoji16] kwa sababu humu unaweza jiona fala kwa jinsi watu walivyotoboa ,ila Acha tu ibaki hivyo itupe hasira [emoji2955][emoji2955]
 
Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako

Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha nzuri, Sometimes have privacy ,haina haja ya kumuangalia jirani yako anapokuwa bize na simu yake.

Let me know kama umeshawahi kuwa muhanga wa jambo hilo👇✍️
Mara nyingi huwa sio unavyofikiri umekaa either upande wa dirishani au upande wowowte sasa isiwe adhabu kwangu kuuangalia upande mmoja eti kisa utashuku naangalia simu yako, mara nyingi hutokea hivyo chunguza na mara nyingine mtu mzima unakuwa hovyo unacheck insta viclip vya kijinga sauti inacheka mwanzo mwisho wa safari inakera kweli sasa hiyo tena sio privacy
 
Ila pia mnaochati sometime mnakera, yaan kwa Sababu unachati basi na Mimi nisigeuze shingo. Kuna mmoja alikuwa anachati na Mimi kuna time natazama dirishani full kuwa huru, akanichana mbona unachungulia nachoandika nikamwambia kwa hiyo kisa unachati nitulie kama mlingoti sio. Yaan nisiwe na uhuru wa kujeuza shingo kisa nisionekane nachungulia chatting zake. Kwa kweli kama ni kuchat meseji za ndani sana Huwa sichati nikiwa kwenye mkusanyiko
 
Back
Top Bottom