Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Ni kuachana nao tu mi naona😌😌Yeah sure japo inatakiwa umpe Onyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuachana nao tu mi naona😌😌Yeah sure japo inatakiwa umpe Onyo
Tena kama upo jf sirembi, nachabo fresh kabisa.Nilivyo na macho makubwa. Nikikuona kwa jicho la pembeni tu na lock simu yangu.
Uache unaaTena kama upo jf sirembi, nachabo fresh kabisa.
Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...Uache unaa
Niache mimi😂Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...
Una mbinu kabisa hadi za kukaa ili usistukiwe😃😃🙌Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...
Tabia haina dawa, kutaka kujua vya watu..🤣Una mbinu kabisa hadi za kukaa ili usistukiwe😃😃🙌
Siku itokee tuko wote kwa daladala, kazi imeisha...halafu nazama pm kwa uhakika kabisa najua naongea na mtu wa namna gani.🤣🤣🤣🤣Niache mimi😂
Sawasawa 😂🙌Tabia haina dawa, kutaka kujua vya watu..🤣
Yaani ukizama PM itakuwa kazi bure maana haifanyi kazi😂😂😂Siku itokee tuko wote kwa daladala, kazi imeisha...halafu nazama pm kwa uhakika kabisa najua naongea na mtu wa namna gani.🤣🤣🤣🤣
Wazee wa kazi wana mbinu zao mkuu!!Yaani ukizama PM itakuwa kazi bure maana haifanyi kazi😂😂😂
na ukitaka kuamini zaidi kutokuwa wema kwao, jaribu kufanya kama umetuma picha ya ngono kwenye group la kanisa halafu ufute fasta uone wazee wa kanisa watakavyokufuata privately uwatumie wakemee pepo la ngono toka kwa wahusika.Hii dhana ya watu wa dini ni wema nimekuja kuiamini sio, kuna raia ni vijana/wazee wa hovyo kabisa mpaka unajiuliza huyu zinamtosha kweli?
Kivuli cha dini kisitumike kuficha "ungubaru wao".. Halafu sometimes unamkuta ni mtu mzima na heshima zake ila matendo sasa...
Kabisana ukitaka kuamini zaidi kutokuwa wema kwao, jaribu kufanya kama umetuma picha ya ngono kwenye group la kanisa halafu ufute fasta uone wazee wa kanisa watakavyokufuata privately uwatumie wakemee pepo la ngono toka kwa wahusika.
Ma guest mengi wadau wakuu ni wale tunaowaona masheikh na watu wa makanisa.
Kumbe😂😂😂Wazee wa kazi wana mbinu zao mkuu!!
Ni hekima na busara piaNi kuachana nao tu mi naona[emoji18][emoji18]
[emoji16][emoji16]Naanza kukuundia zengwe, nakufatilia ili watu wajue huna lolote zaidi ya kujibrand tu humu. [emoji1787][emoji119]