Ni kuachana nao tu mi naona๐๐Yeah sure japo inatakiwa umpe Onyo
Tena kama upo jf sirembi, nachabo fresh kabisa.Nilivyo na macho makubwa. Nikikuona kwa jicho la pembeni tu na lock simu yangu.
Uache unaaTena kama upo jf sirembi, nachabo fresh kabisa.
Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...Uache unaa
Niache mimi๐Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...
Una mbinu kabisa hadi za kukaa ili usistukiwe๐๐๐Kama tupo siti moja nina namna yangu nakaa na kuiweka shingo, hutakaa ujue nakuchabo...
Tabia haina dawa, kutaka kujua vya watu..๐คฃUna mbinu kabisa hadi za kukaa ili usistukiwe๐๐๐
Siku itokee tuko wote kwa daladala, kazi imeisha...halafu nazama pm kwa uhakika kabisa najua naongea na mtu wa namna gani.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNiache mimi๐
Sawasawa ๐๐Tabia haina dawa, kutaka kujua vya watu..๐คฃ
Yaani ukizama PM itakuwa kazi bure maana haifanyi kazi๐๐๐Siku itokee tuko wote kwa daladala, kazi imeisha...halafu nazama pm kwa uhakika kabisa najua naongea na mtu wa namna gani.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wazee wa kazi wana mbinu zao mkuu!!Yaani ukizama PM itakuwa kazi bure maana haifanyi kazi๐๐๐
na ukitaka kuamini zaidi kutokuwa wema kwao, jaribu kufanya kama umetuma picha ya ngono kwenye group la kanisa halafu ufute fasta uone wazee wa kanisa watakavyokufuata privately uwatumie wakemee pepo la ngono toka kwa wahusika.Hii dhana ya watu wa dini ni wema nimekuja kuiamini sio, kuna raia ni vijana/wazee wa hovyo kabisa mpaka unajiuliza huyu zinamtosha kweli?
Kivuli cha dini kisitumike kuficha "ungubaru wao".. Halafu sometimes unamkuta ni mtu mzima na heshima zake ila matendo sasa...
Kabisana ukitaka kuamini zaidi kutokuwa wema kwao, jaribu kufanya kama umetuma picha ya ngono kwenye group la kanisa halafu ufute fasta uone wazee wa kanisa watakavyokufuata privately uwatumie wakemee pepo la ngono toka kwa wahusika.
Ma guest mengi wadau wakuu ni wale tunaowaona masheikh na watu wa makanisa.
Kumbe๐๐๐Wazee wa kazi wana mbinu zao mkuu!!
Ni hekima na busara piaNi kuachana nao tu mi naona[emoji18][emoji18]
[emoji16][emoji16]Naanza kukuundia zengwe, nakufatilia ili watu wajue huna lolote zaidi ya kujibrand tu humu. [emoji1787][emoji119]