mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Aug 15, 2023 #81 Tatizo linakuwa simu ni kubwa kuliko hand palm. Mwanga mkali , na kuji show off kwamba nawe una simu kubwa. tujiangalie na sisi kwanza na ulimbukeni wetu kabla ya kuwatuhumu hao.
Tatizo linakuwa simu ni kubwa kuliko hand palm. Mwanga mkali , na kuji show off kwamba nawe una simu kubwa. tujiangalie na sisi kwanza na ulimbukeni wetu kabla ya kuwatuhumu hao.
M Mkalapa JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 268 Reaction score 832 Aug 15, 2023 #82 Sasa wengine munaangaliga senema na ile senema kama nzuri tusichungulie , tutachungulia