Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Katarama kapiga tena kwenye mshono!

Hongera zake.
Ila zama hizi mabasi hayakimbii. Enzi zile unatoka Dar asubuhi unafika Mbeya mchana saa nane unakutana na ugali mezani licha ya barabara kuwa mbovu. Zile Scania zilikuwa balaa
Kulikuwa hakuna tochi, pia askari wa barabarani walikuwa wachache. Now sheria zimekuwa nyingi na kali kwa madereva jumlisha speed governor
 
siwezi kupinga kipindi sijajiunga jamiiforum nilikuwa natumia jamiiforum kuptia operamini kwenye mobile phone jina la mshana nilikuwa naliona ni kitambo sana

almost kama miaka 16 hivi

yoyote kwa yote huu uzi bila picha bado hujakamilika bro kwa heshima yako 😀
GWt7mvJWUAA0xmD.jpg
 
Una wakili?🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Acha uwoga, tunawapa kichwa sana hawa watumishi wa umma mpaka wanafikiri wanaweza kutufanya chochote bila madhara yeyote, Kuna wale wa usalama wa Taifa na ile mifugo ya CCM yanajiona kama semi God, tafadhari tuache culture ya kuwaogopa inaharibu Taifa
 
siwezi kupinga kipindi sijajiunga jamiiforum nilikuwa natumia jamiiforum kuptia operamini kwenye mobile phone jina la mshana nilikuwa naliona ni kitambo sana

almost kama miaka 16 hivi

yoyote kwa yote huu uzi bila picha bado hujakamilika bro kwa heshima yako 😀
😁😁😁chukua video kabisa
Umemtisha mpaka akafanya editing post
kuna mzee mmoja wa Mwanza amefanya utafiti porini amekuta mifupa ya watu imejaa
 
siwezi kupinga kipindi sijajiunga jamiiforum nilikuwa natumia jamiiforum kuptia operamini kwenye mobile phone jina la mshana nilikuwa naliona ni kitambo sana

almost kama miaka 16 hivi

yoyote kwa yote huu uzi bila picha bado hujakamilika bro kwa heshima yako 😀
😁😁😁chukua video kabisa
Mbona basi ziko mbili tu kwenye hii video, na ww umesema nne.... mbili zengine zipo wapi ?
soma post kwa makini halafu angalia tarehe ya hizo bus mbili zilipostiwa lini
 
siwezi kupinga kipindi sijajiunga jamiiforum nilikuwa natumia jamiiforum kuptia operamini kwenye mobile phone jina la mshana nilikuwa naliona ni kitambo sana

almost kama miaka 16 hivi

yoyote kwa yote huu uzi bila picha bado hujakamilika bro kwa heshima yako 😀
😁😁😁chukua video kabisa
Mbona basi ziko mbili tu kwenye hii video, na ww umesema nne.... mbili zengine zipo wapi ?
soma post kwa makini halafu angalia tarehe ya hizo bus mbili zilipostiwa

Back
Top Bottom