KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

Waziri ni muongo
 
 

Attachments

  • AC3206A8-2B47-4ADC-981B-1E1E55EBABBB.jpeg
    56.4 KB · Views: 2
  • 9D97AC0C-781B-42E2-999B-7B88B82D5BED.jpeg
    31.4 KB · Views: 2
Waalimu wengine mikoa yote ungeni hapo ni saa yenu ya ukombozi!
 
Huko mikoani hawana pakwenda pa kupata msaada.
CCM na CWT wapi unadhani watasikilizwa kwa umakini zaidi? Hii nchi wewe isikie tuu,watumishi wa halmashauri wanafukuzwa kazi hata na diwani. Siasa zimeathiri Sana utumishi....mwanasiasa Hana taaluma yoyote lakini anafanya maamuzi yanayohusu taaluma ya mtu. So pathetic 😭
 
Ndio ushangae watu tunaowaachia wawafundishe watoto wetu ndio wanaoongoza kwa ujinga
Sio wajinga mkuu, strategically wamefanya uamuzi mzuri maana wangeenda direct kwa wahusika wangetimuliwa na kupewa blahblah nyingi,kupitia ccm swala lao litasikilizwa chap na haraka. CCM italichukulia kama milestone kisiasa na itafanya jambo.
 
Sasa ofisi ya ccm inahusikaje?
Ndugu ukiumizwa chochote kinachoweza kukusaidia kitumie. Walimu sio wajinga hivyo ktk nyakati hizi ambazo siasa imekuwa kila kitu! Watendaji wote unaowajua wewe wa serikali wamewakwamisha hawa walimu kupata haki yao. Why CHAMA kisitumike kuwasemea ili hali watendaji wanahofu kauli za wanasiasa? Wasingefanya hivi unadhani hao simbachawene angekuja na jibu hili?
 
Sasa hujaelewa kuwa wasipokuwa promoted next month kurudisha kadi itakuwa habari kuu!? Maisha ni akili, kila mtu anazake.
 
NILIDHANI wameenda MAHAKAMANI
Hakimu atapigiwa simu tu....hii njia ndio sahihi kwa wakati huu. Huku halmashauri mambo ni vululuvululu. Chongolo atakuwepo next wiki, naye anapewa kauli ya simbachawene kuwa walimu tumeipokea na tunaisubiri. Nje ya hapo tutaelewa CHAMA na watendaji halmashauri lao moja so next step itakuwa KURUDISHA KADI KWA MAANDAMANO TENA.
 
Hii nchi ni ya kijinga sijapata kuona. Tangu lini kupanda madaraja kukahitaji uhakiki? Huyu jamaa anachekesha kweli πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…