Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

duh!! na nyege zikishalipanda dume lolote iwe la binadam au mnyama, timbwili lake ni la hataree!! mfano; dume la ng'ombe lazma zizi livunjwe na mnalikuta mtaa wa nne kwenye zizi la majike, ndo utashangaa limejuaje njia na limefikaje huko?
 
Pole kwa yaliokutokea asee, dah!! Binadam wakatiri sana
 
kuna mmoja aliliwa nyuma na mmewe, anajikuta kamaindi, kapaki virago vyake kasepa kwao. Kufika kwao baba na mamaye wanamuuliza shida nini? mwanadada kafunguka a to z.

Wakamwambia aache masighara, saileile wakampakia na mizigo yake wakamrudisha kwa mumewe.
 

Na siku izi wadada wengi wa mjini wana toa huduma ya 0713
 
Aisee umesema ukweiii,
 
Wanaume wawili ndani ya chumba cha guest, lodge au hotel, siyo poa kabisa...
 


mhhh

kwanini alikueleza wewe!!na umejuaje kama kaacha maana kama kanogewa anaweza kausha tu,ukadhani kaacha.
 

sasa atakaa hapo nyumbani anaangaliana na baba yake kwamba aliishafirrwa[emoji1][emoji1][emoji1].

unajua mambo mengine ya ajabu sana.
ndio maana huko unyagoni wanapigwa mpaka fimbo kisa kuuliza swali la kiwaki tu,kwamba wazo fulani toa kabisa kichwani.

eti baba na mama ninerudi kisa mme wangu kanikata nyuma[emoji1787][emoji1787],umerudi tukutibu au!!
 
Wanawake awachafui shuka
 
Kama mmepanga kufanya hayo machafu hapo hawajazuia kitu....ni rahisi kuhama kitanda ukahamia kwa mwenzio.
 
Kwa waislamu mume akiomba kufanya kinyume cha maumbile ni sababu tosha ya mke kudai talaka au kuondoka bila ya taraka
 
Mkuu Kuna ushahidi wa kisayansi katika hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…