Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Ipo hivyo kila mnyama na uwanja wake wa nyumbani ,ukimkuta kwenye maji , haitwi tena mamba anakua , master of ambush
🤣🤣🤣🤣you make my dayKila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Chatu huwa hawako aggressive kihivyo bana!View attachment 2928456View attachment 2928457
Chatu akipanda Minazi kumbuka ukipanda Mnazi Simba wala Mamba hakufuati ila Chatu anakufuata ukikimbilia kwenye Maji Simba hawezi kukufuata lakini Chatu na Mamba wanakufuata na Chatu anaogelea kuliko hata Mamba.
Kwahiyo Chatu yeye ni kila sehemu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaniKila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Mnyama flani hivi mdogo mdogo ila mtata sana hasa wakiwa kwenye tendo la ndoa ukawafumania na akajua umewaona hata ukimbie wapi atakufata tu to cut it shot kawivu wa hovyoNyegele? Ndo mnyama huyo?
Chatu anategemea Ambush na kama ana NJAA na wewe uko juu na Mnazi anapanda kwa kunyata mpaka akukaribie.Chatu huwa hawako aggressive kihivyo bana!
Mnyama yeyote anasehemu yake ya kujidai hutoboi, simba ukimkuta polini ni tofauti na ukikutana nae mtaani, hata wewe ukiwa ugenini kujiamini kunapungua kama ukiwa nyumbani. Ila mamba usimchukulie poa mzee waliokaa visiwani wananielewa.si mnasema mamba akiwa nchi kavu ni mchumba
sasa mkute anaatamia mayai yake ndio utajua hujui
Hizo taarifa umezitoa wapi wewe?Chatu anategemea Ambush na kama ana NJAA na wewe uko juu na Mnazi anapanda kwa kunyata mpaka akukaribie.
Tunaongelea Jamii zote za Chatu na habari zinatoka Guugo.Hizo taarifa umezitoa wapi wewe?
Na ni chatu yupi unayemzungumzia?
Dah umeenda nje ya box umetishainategemea binadamu ndo wakuogopwa sana.....hasa hawa wa kutuma na ha kutolea hawa
kumbe ni bora kuliko utembe na bunduki au upanga mkali ni bora utembe na electric fenceHiyo Picha huyo Chatu kammeza Mlinzi wa WFP mwenye AK47 wakati anavuka Fensi ndio akapigwa Zap akaing'ata Fence ndio kufia hapo hapo na asubuhi akakutwa hivyo hivyo.
Sudan Kusini.
🤣🤣🤣🤣🤣We Jamaa fara Sana watu wanawaza kukutana na Michongo ya Hela wewe unawaza kukutana na Chatu mbwa wewe
Majini au nchi kavu? Nchi kavu mamba akipata purukushani kidogo ana over heat mapema anaweza akafa... ni cold blooded sana..mamba ndo survival chance inakaribia 0%
ana spidi kuliko mtu, ana ngozi ngumu, panga halitomdhuru sana
ana bite force kubwa, akikung'ata mahali huchomoi
bora simba kuliko chatu na mamba. chatu ni hatari kupita watu mnavyodhani, akifanikiwa kukukamata tu hata uwe na nguvu gani hutoki, anakubana mbavu muda si mrefu umeshanyooka. mamba ana nguvu kwenye maji za ajabu, na ule mdomo akiufumba baada ya kukung'ata, hata jeki inahangaika kuufunua. ndizo nguvu Mungu aliwaumba nazo. simba ni hatari ila ana akili, huwa anajihami pia, unaweza walau kusavaivu.Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.
Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.
Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Huyo kuna dogo alikua na babaake anamfundisha uwindaji.Hao wote utaokoka hatari ukutane na nyati jike aliyepoteza ndama
Utatamani ardhi ikumeze
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi Mamba sitoboi ila hao wengi chatu na Simba vita nyepesi hiyo nikiwa na upanga tu kama alivyosema mleta mada.
tunakuelewa vizuri mnoooMnyama yeyote anasehemu yake ya kujidai hutoboi, simba ukimkuta polini ni tofauti na ukikutana nae mtaani, hata wewe ukiwa ugenini kujiamini kunapungua kama ukiwa nyumbani. Ila mamba usimchukulie poa mzee waliokaa visiwani wananielewa.