Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Story hizi za simba ni za vijiweni.

Ila simba akiwa na njaa hata ufanye nn lazima akuvae.
 
I assume unaongelea kila mnyama kwenye natural habitat yake

Bwana krokodilo akiwa kwenye maji chances za wewe kutoboa ni negative -0

Bwana krokodilo akikukuta mtoni ni kama bayern leverkusen plus hata sare hupati

Bwana krokodilo akiwa kwenye maji ni kama anapaa

Bwana krokodilo is a pure reptile sio simba ana huruma kuna video kibao simba anaacha swala na chatu akishiba anaacha kula analala but no Bwana krokodilo will fack you up akiwa na njaa and he will still fack you up akishiba just for fun

Bwana krokodilo has so much germs on the teeth akikungata hata ukichomoka for instance( hii ni nadharia hutochomoka hata iweje) pale ulipong’atwa pataoza

Bwana krokodilo hana mikono fresh ya kushika ili ang’ate so ili kukutenganisha anakuzungusha kwenye maji na kukupiga piga juu ya maji mpaka ugawanyike

Man
Mamba will fack you up bad

Halafu kwa ile ngozi panga ni kama mbao butu you’re weapon is useless to mamba
 
Your
 
Chatu anamla hata Mamba kuna picha moja huko Florida Everglades Mamba aliliwa na ubabe wake.

💪Chatu Bingwa.

fdykx5rploh01.jpg

Chatu akijimezea kitoweo cha Mamba bila buguza.
 
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Nyegere mbona kadogo kale si unakanyaga tu
 
simba anayeshambulia binaadam ni yule aliyechanganyikiwa sio simba mzima. ni hatari zaidi kwa sababu ana nguvu na silaha kali sana kucha na meno.otherways kwa orodha hiyo hapo simba ndiye mzembe kuliko wenzake.
kwanza huwa ana tabia ya kufanya majaribio,akigundua hauna masihara anakimbia yeye.

ila sio mamba wala chatu,hao wote wana akili kama simba akiwa kachanganyikiwa.
 
Kila mnyama ana weekness yake chatu mbio hana, mamba nchi kavu mgambo tu hana jipya, simba ukimwangalia directly machoni ana aibu kama unamtongoza si ajabu akaanza kutafuna vidole na kuvunja vijiti ila ombea usikutane na nyegele ni mpaka akukague we ni jinsia gani
Nyegele? Ndo mnyama huyo?
 
Chatu anamla hata Mamba kuna picha moja huko Florida Everglades Mamba aliliwa na ubabe wake.

💪Chatu Bingwa.

View attachment 2928046
Chatu akijimezea kitoweo cha Mamba bila buguza.
Ina depend na Aina ya mamba, Size ya mamba pia na Size ya Nyoka maana kuna aina tofauti za mamba ambazo pia zina Size tofauti pia kuna umri wa mamba husika na nyoka.

Sisi tunapenda kusema tu jina la kiumbe bila kuzingatia sifa mtoto wa tembo akiuliwa na Simba mkubwa tunasema Simba kaua Tembo.
 
Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie

Unamkata hapo kichwani

Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,

Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu

Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,

kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka

Wote hao ukiwa jasiri ni kama mijusi tu.
 
Ila tuseme ukweli binadamu kiumbe dhaifu sana.
Yaani hakuna kiumbe ambacho tunalingana ukubwa au uzito ambacho unaweza kukimudu kukikalisha chini bila kutumia siraha.

Kucha zetu zenyewe umekuwa urembo tu, meno ya kutafunia mishikaki tena iliyokwiva.
Viumbe wengine angalau wanayo hata sauti ya kutisha, sisi nayo hatuna.
 
Back
Top Bottom